Uliza software yeyote hapa

Uliza software yeyote hapa

Natafuta software ya mauzo, sales software ( system)
 
Mkuu nahitaji app ya ApowerMirror kwa ajili ya kucast video za kwenye simu kwenda kwenye pc,msaada please!
 
Assalam alyekum wadau poleni na majukumu mazito ya ujenzi wa taifa ,.. Nimejitokeza kuomba msaada wadau yeyote mwenye Software ya NVIVO 12 ambayo ni cracked (sio ya kulipia wala sio trial) naomba msaada anipatie setting au link ya kudownload iyo software ndugu wadau naomba kuwasilisha ombi langu
 
Uzi mzuri ila watu hata kumtia nguvu mtu wanashindwa ....we umepewa software bureee ata buku 5 tuu basi buku mbili ya vocha bado mnajikausha......

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa gumu mkuu, mtu anakwambia umtumie telegram au kwa email hata support tu ya bundle la kuupload wanashindwa halafu unakuta wanachoomba kinauzwa bei mbaya tu..
 


Stellar Phoenix Windows Data Recovery – Professional is a do-it-yourself data recovery software that helps you to easily recover deleted files & folders, missing or corrupt partitions and even accidentally formatted hard drives.
Recovers All File Types Including Office Documents, Photo, Video, Emails & more
Complete Recovery of Data from Inaccessible Hard Drive Partitions or Volumes
Restores Data from HDD, USB, Memory Cards, CD-DVD & Other Storage Devices
Advanced Search Option to Recover from Severely Corrupted Drives
Easily Recovers Data from Hard Drives having Bad Sectors

View attachment 859136
Mkuu kuna crack ya stellar phoenix unisaidie
 
Back
Top Bottom