Naomba msada wa mpesa-mastercard

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,468
1,329
Habari wanajamvi ,nilisajili mpesa-mastercard na nikawa naitumia vizuri ,mnamo tarehe 23 mwezi huu inanikatalia kufanya shopping online kila nikijaribu inaniambia payment is Unsuccessful ,nimewapigia call center ,majibu wanayonipa ni kwamba tatizo langu litashughurikiwa ndani ya masaa 72,nimejaribu kuwapigia Leo wananiambia ishu bado iko pending na niendelee kusubiri nitajibiwa ,naombeni msada kama kuna yeyote mwenye mawasiliano ya watu hawa wa mastercard naomba anisaidie kwa ajili kuhalakisha suruhu ya tatizo.
 
Haijapitiliza mwezi chief,km imepitiliza renew endelea na miamala.
 
Mwezi haujapita natagemea kusajili laini nyingine sasa hivi aisee maana da ,hizi shida siziwezi.
Kama mwezi haijapita,sajili nyingine au nrnda direct office zao chief,watasolve haraka
 
Hii ni taka taka tangu jana najaribu kuweka pesa inazingua ukiwapigia hakuna kitu wanajibu. Wakipata competetion watajielewa
 
Mimi nilipiga call center hadi nikawakariri wote, ikawa keeo sasa. Nkaamua kutumia njia mbadala
 
Huwa ina expire kila baada ya muda fulani, chack stutus
 
mimi liniweka 40000 taehe 31 kwenye mpesamastercard lakini mpaka leo hii azionekani nikipiga wananiambia wanashughulikia
 
mimi liniweka 40000 taehe 31 kwenye mpesamastercard lakini mpaka leo hii azionekani nikipiga wananiambia wanashughulikia
Ulijaribu kuangalia salio pia una jua mpesa master card ina expired ndani siku 180 ikitokea ivyo cha Kwanza unatakiwa kuitoa hela kwenye card then unatengeneza upya una renew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom