Mojawapo ya vilevi hatari zaidi duniani, kisaidizi katika kuharibu mahusiano, ndoa, uzalishaji, afya na husababisha mawazo.
Nilikuwa kwenye discussion leo kutoa mawazo yangu juu ya jambo hili kweli, na nakumbuka hii quote maarufu ya Salahuddin,
"Ikiwa unataka kuharibu taifa lolote bila vita...