Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

Huwa nahisi unaugua akili...jioni njema
😂😂😂😂😂 Ka waoneee wasio Jua Koran hapa lazima nikukalishe

Koran 42:7
And thus We have revealed to you an Arabic Qur’ān that you may warn the Mother of Cities [i.e., Makkah] and those around it...
 
Makka ama madina ni sehemu
tu ya ardhi ya waarab ( arab land)7. Na uislam ni utamaduni
wa waarabu. Hata wewe
umeujua uislam sababu
mwarabu alikuja africa
kuwafundisha babu zako
kuhusu uislam. Kama
mwarabu asingekuja ungebaki
na dini za utamaduni wako
Nchi ama mipaka zimekuja
baadae. Ni sawa na mlima
kilimanjaro umekuwa mali ya
Tanzania baada ya mkoloni
kuchora mipaka ya kila nchi tu.
Ila watu walikuwa wanaishi
kabla hata mipaka
haijachorwa ya nchi.
Saudi arabia imetumia fursa ya
kupiga hela za utalii wa kidini
baada ya kujikuta makka ama
madina zipo ndani ya nchi yao.
Ni sawa na Tanzania
tunavyotumia fursa ya kupiga
hela za utalii za serengeti ama
mlima kilimanjaro maana
tumejikuta zipo ndani ya nchi
yetu tu
Nilikwambia kwamba hijja ilikuwepo toka enzi hizo ambako hakuna hilo taifa la Saudia ambalo wewe unaona limeanzisha hijja ili lipige pesa, ukasema enzi hizo uislamu ulikuwa ni kwa ajili yao tu.
Kwahiyo hoja yangu inabaki vile vile kwamba hijja ni jambo ambalo lilikuwepo toka zamani na ni jambo la kiibada hivyo sivyo kama unavyoeleza kutaka ionekane nchi ya Saudia imebunia hilo jambo ili kujipatia pesa, sasa sijui labda ulitaka nchi ya Saudi Arabia ndio ibebe gharama za watu wote wanaoenda kuhiji.

Chengine mkuu nachojua mimi waarabu wana tamaduni zao hata Muhammad alipokuja na kuanza kutangaza uislamu waarabu walikuwa na tamaduni zao pamoja na ibada zao, ukisema uislamu ni utamaduni wa waarabu unakuwa unakusudia nini hasa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ka waoneee wasio Jua Koran hapa lazima nikukalishe

Koran 42:7
And thus We have revealed to you an Arabic Qur’ān that you may warn the Mother of Cities [i.e., Makkah] and those around it...
Kumbe Qurani ni kwa ajiri ya Waarabu ndio maana ikaandikwa Kiarabu, Sasa huyu Mdigo anauhusiano gani na Qurani.
Kwani yeye ni Mwarabu pia.
Tatizo Shehe Kisai, anawapenda sana Waarabu.
 
Nilikwambia kwamba hijja ilikuwepo toka enzi hizo ambako hakuna hilo taifa la Saudia ambalo wewe unaona limeanzisha hijja ili lipige pesa, ukasema enzi hizo uislamu ulikuwa ni kwa ajili yao tu.
Kwahiyo hoja yangu inabaki vile vile kwamba hijja ni jambo ambalo lilikuwepo toka zamani na ni jambo la kiibada hivyo sivyo kama unavyoeleza kutaka ionekane nchi ya Saudia imebunia hilo jambo ili kujipatia pesa, sasa sijui labda ulitaka nchi ya Saudi Arabia ndio ibebe gharama za watu wote wanaoenda kuhiji.

Chengine mkuu nachojua mimi waarabu wana tamaduni zao hata Muhammad alipokuja na kuanza kutangaza uislamu waarabu walikuwa na tamaduni zao pamoja na ibada zao, ukisema uislamu ni utamaduni wa waarabu unakuwa unakusudia nini hasa?

Wewe una reasoning ndogo sana.. sasa hijja ya zamani waislam waliokuwa wanaenda hijja walikuwa watu wa asili gani ?

Waarabu ndio walikuwa wanaenda hiyo hijja maana ni part ya utamaduni wao. Walikuwa wanatoka arab land . Je Kuna mtu mweusi ama mzungu alikuwa anafunga safari yaani anapanda meli ama ndege kwenda hijja enzi hizo?

Kwa sasa hivi muislam ambaye ni raia wa saudi arabia yeye anaruhusiwa kwenda hijja kwa nauli yake tu ama miguu yake tu ila ambaye sio raia ni lazima alipie fee ya utalii wa kidini na apatw kibali cha wizara yao. Ni sawa na wewe m Tanzania ukienda serengeti leo gharama utazolipa ni ndogo kuliko mtu ambaye sio m Tanzania.

Hapo ndipo saudi arabia wanapopiga hela za utalii wa kidini kwa waislam ambao sio raia wa nchi yao.

Hujui baada ya mafuta namba 2 ya pato la taifa la saudi arabia ni hela inayotokana na watalii wa kidini wanaoenda kuhiji

Sababu hija inaleta hela nyingi kama pato taifa saudi arabia wameunda wizara kabisa inaitwa

Ministry of Hajj and Umrah. Na wameweka packages kabisa za mtu kulipia akitaka kwenda kuhiji na wanamuwekea na Value added tax katika malipo yake.

Yaani huwezi jiendea tu kuhiji bila kupata kulipia fee za utalii wa kidini hizo
 
Wewe una reasoning ndogo
sana.. sasa hijja ya zamani
waislam waliokuwa wanaenda
hijja walikuwa watu wa asili
gani ?
Waarabu ndio walikuwa
wanaenda hiyo hijja maana ni
part ya utamaduni wao.
Walikuwa wanatoka arab land .
Je Kuna mtu mweusi ama
mzungu alikuwa anafunga
safari yaani anapanda meli
ama ndege kwenda hijja enzi
hizo?
Kwa sasa hivi muislam ambaye
ni raia wa saudi arabia
anachajiwa fee ndogo kwenda
hijja kuliko ambaye sio raia. Ni
sawa na wewe m Tanzania
ukienda serengeti leo gharama
utazolipa ni ndogo kuliko mtu
ambaye sio m Tanzania.
Hapo ndipo saudi arabia
wanapopiga hela za utalii wa
kidini.
Hujui baada ya mafuta namba
2 ya pato la taifa la saudi
arabia ni hela inayotokana na
watalii wa kidini wanaoenda
kuhiji
Sababu hija inaleta hela nyingi
kama pato taifa saudi arabia
wameunda wizara kabisa
inaitwa
Ministry of Hajj and Umrah
Unaposema la utamaduni wa waarabu unakuwa unahusisha hadi waarabu ambao sio waislamu, sasa kuna muarabu ambaye sio muislamu anayeenda kuhiji makka kama sehemu ya tamaduni?

Chengine nimekuuliza ulitaka Saudi Arabia ilipie gharama zote za watu wanaoenda kuhiji huko makka?
 
Unaposema la utamaduni wa waarabu unakuwa unahusisha hadi waarabu ambao sio waislamu, sasa kuna muarabu ambaye sio muislamu anayeenda kuhiji makka kama sehemu ya tamaduni?

Chengine nimekuuliza ulitaka Saudi Arabia ilipie gharama zote za watu wanaoenda kuhiji huko makka?

Unaposema la utamaduni wa waarabu unakuwa unahusisha hadi waarabu ambao sio waislamu, sasa kuna muarabu ambaye sio muislamu anayeenda kuhiji makka kama sehemu ya tamaduni?

Chengine nimekuuliza ulitaka Saudi Arabia ilipie gharama zote za watu wanaoenda kuhiji huko makka?

Lowassa alisema elimu, elimu, elimu nu tatizo la wa Tanzania. Kweli alikuwa sahihi

Embu bishana kwa fact kwamba serikali ya saudi arabia haipati mapato ama faida za kipesa kupitia Hija.. kama dini ni ya Mungu na Hijja sio biashara kwa nini wanachaji watu pesa nyingi kwenda kuhiji? Why nchi ya saudi arabia ipate mapato ya watu wa Mungu. Serikali ya Saudi inakusanya mapato ya watalii wanaokuja Hijja kisha inanunua silaha na kuua waislamu wenzenu yemen, syria , kashoggi etc

Pilgrimage is essential to Saudi Arabia’s economy and worth $12 billion annually. Currently, it makes up 20 percent of Saudi Arabia’s non-oil GDP, and is only expected to grow with the rise of more luxury hotels around the holy mosque.

Hajj pilgrims are also required to buy a Hajj package ranging anywhere from $1,000 to $20,000 or higher depending on hajj fees, accommodations, distance and the like.

Hajj packages used to cost three to four thousand dollars only five years ago,” says Issam Qaddoura from Canada.

“Now they cost at least $10,000. A flight from my city to Jeddah only costs a $1,000. Why is it so expensive? It would be cheaper to go on my own, but I can’t. Something is wrong with the pricing.

In late April 2019, Libya’s most prominent Muslim Sunni cleric, Grand Mufti Sadiq al Ghariani, called for all Muslims to boycott the Hajj—the obligatory pilgrimage of Muslims to Mecca.

In a minority view, he claimed that anyone who carried out a second pilgrimage was doing “an act of sin rather than a good deed”.

The reasoning was simple. Saudi Arabia’s economy supplies arms and militarily attacks Yemen, and is indirectly implicated in Syria, Libya, Sudan, and Iraq.

Ghariani emphasised that investing in the Hajj would “help Saudi rulers to carry out crimes against our fellow Muslims”.

But Ghariani isn’t the only cleric who’s taken a stance against the Hajj. Yusuf al Qaradawi, one of the most prominent and highly acclaimed Sunni scholars and a vocal critic of Saudi Arabia, made a fatwa in August 2018 which called for consciousness towards spending on the pilgrimage.

Saudi Arabia’s King holds the honorary title of ‘Custodian of the Two Holy Mosques’, handed down for generations. In today’s times, some pilgrims see the title as less than honorary, and more an iron grip on profit at the expense of religious legitimacy.
 
Hujamalizia mkuu alivyoingia kwenye sinagogi alisoma Quran baada ya kumaliza kuswali, na wasichokijua Yesu alikuwa anaswali swala 5 na alikuwa na sijda
Hata wale wanaoitwa wanafunzi wake wote walikuwa waislam na walikuwa wanaenda wote kuhiji Makkah
Sina gogi si wanasalia wayahudi?Wayahudi ni waislamu? Yesu alikuwa ni myahudi na Mwarabu.
 
Lowassa alisema elimu, elimu,
elimu nu tatizo la wa Tanzania. Kweli alikuwa sahihi
Embu bishana kwa fact
Pilgrimage is essential to Saudi
Arabia’s economy and worth
$12 billion annually. Currently, it
makes up 20 percent of Saudi
Arabia’s non-oil GDP, and is
only expected to grow with the
rise of more luxury hotels
around the holy mosque.
Hajj pilgrims are also required
to buy a Hajj package ranging
anywhere from $1,000 to
$20,000 or higher depending on
hajj fees, accommodations,
distance and the like.
Hajj packages used to cost
three to four thousand dollars
only five years ago,” says Issam
Qaddoura from Canada.
“Now they cost at least $10,000.
A flight from my city to Jeddah
only costs a $1,000. Why is it so
expensive? It would be cheaper
to go on my own, but I can’t.
Something is wrong with the
pricing.
Sijui wapi hunielewi? Tatizo huzingatii tunachojadali.

Hapa kuna mambo mawili, kuna suala kusema hijja ni katika tamaduni za waarabu na ndio nikakupinga kwa kusema hijja ni suala la kiibada katika dini ya uislamu na si suala la tamaduni za waarabu na ndio maana waarabu ambao si waislamu hawaendi katika hiyo hijja maana sio waumini wa uislamu.

Na jambo la pili ni hilo la Saudia kupiga pesa kupitia hijja kitu ambacho unataka kukifanya kionekana Saudia wamejibunia chanzo cha mapato kupitia dini, ndio maana nakuuliza ulitaka Serikali ya Saudia walipie watu gharama za malazi na mambo mengine kwa hao wageni wanaokuja nchini kwao kwa sababu ya hijja? Sikatai kuwa wanaingiza pesa nyingi kupitia ujio wa watu kwenda nchini kwao kuhiji ila si kwamba wanatumia dini ili kujitajirisha.
 
Kumbe Qurani ni kwa ajiri ya Waarabu ndio maana ikaandikwa Kiarabu, Sasa huyu Mdigo anauhusiano gani na Qurani.
Kwani yeye ni Mwarabu pia.
Tatizo Shehe Kisai, anawapenda sana Waarabu.

Injili ilikuwa ya lugha gani ? Hili mbona hamlisemi huko kwenu au kwa sababu Biblia zenu zimetarujumiwa kwa lugha zenu ?

Sasa hapo hiyo aya imesema wapi Qur'aan ni kwa ajili ya Waarabu pekee ? Shida yenu huwa mnaleta maana zenu tukiwabana mnalia lia.

Ukweli unabaki pale pale hakuna lugha iliyo kaa kielimu na yenye elimu nyingi za lugha kishinda Kiarabu. Kubali kataa.
 
Hamna cha peponi wala mbinguni. Kama ulivyozaliwa ukiwa hujui kitu na ukifa ndio mwisho hamna chochote baada ya hapo.
Umepotea pepo ipo na moto upo
Sio ukifa ndo mwisho wako bado kuna maisha mengine baada ya kifo

Wewe ujiulize hivi kama mchawi anaweza kumtoa mwanadamu machoni petu na kumuweka sehemu nyingine ambayo macho yetu ya nyama hatuwezi kuona

Je Mungu anaweza kukutowa wewe katika dunia hii na kukupeleka anako jua yeye?
 
UNASEMA hakuna Mungu ila haujui ulipotoka
Kimantiki, kosa la hoja yako, kwamba ni lazima nijue nilipotoka ili kujua kwamba Mungu hayupo, inaitwa "logical non sequitur".

Umeunganisha mambo mawili ambayo hayana uhusiano.

Silazimiki kujua nilipotoka ili kujua Mungu hayupo.

Umeunganisha mawili hayo kwa ujinga tu.

Ni hivi, nikishaweza kuonesha Mungu hayupo, sihitaji kujua mimi nimetoka wapi, mawili haya hayana uhusiano.

Nikijua kwamba square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2, naweza kujua 10 si square root ya 2, bila kujua square root ya 2 ni nini.

Nikijua kwamba binti wa miezi 6 leo hawezi kuwa mama wa mwanamme wa miaka 30 leo, sihitaji kumjua mama wa huyu mwanamme wa miaka 30 ili kujua kwamba huyu binti wa miezi 6 hawezi kuwa mama wa mwanamme wa miaka 30.

Mimi nakwambia 10 si square root ya 2, kwa kutumia kanuni za mantiki za mahesabu.

Wewe unanikebehi kwamba "unasema 10 si square root ya 2 wakati hata hujui square root ya 2".

Naweza kujua square root ya mbili si 10 bila kujua square root ya 2 ni nini, kwa sababu najua square root ya 2 ni lazima iwe ndogo kuliko 2.

Mimi nakwambia binti wa miezi 6 leo hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme wa miaka 30 leo, kwa sababu kimantiki lazima mama mzazi awe mkubwa kuliko mtoto wake.

Wewe unanikebehi na kusema "unasema binti wa miezi 6 hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 30 wakati hata humjui mama yake huyo mwanamme"

Sihitaji kumjua mama mzazi wa huyu mwanamme wa miaka 30 ili kujua kwamba binti wa miezi 6 hawezi kuwa mama yake mzazi.

There is a logical non sequitur flaw in your thinking.
 
Kama ni lugha ya peponi inamaanisha wanao ongea kiarabu hapa duniani ndio wako peponi. Maana hakuna aliyekuja na udhibitisho juu ya ilo swala.

Hiii ilikua ku brainwash watu ili waarabu wajitawale vizuri
True waarabu walitaka lugha yao itawale dunia ila wameshindwa mpaka sasa coz hata mwaka wao wakiislam bado haujulikani, juzi nimemuona rais wa zenji mwinyi akitaka mwaka mpya wa kiislam iwe mapumziko anajaribu kupambania 😀😀😀
 
Keh kwaiyo wale babu zetu wenye walikufa kabla Dini ya Islamic ijafika watajibuje uko maana kiswahili tu wengine wame danja hawakijui[emoji849][emoji849]
Mi ninachojiuliza hao hao waislam sasahivi wameganda kiingereza mpaka unajiuliza lengo la muarabu lugha yake kutawala dunia limefukiwa 😂😂🤣🤣🤣🤣
 
Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!

Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?

Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi

Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
Vitu vingi me ni kama storry tu zisizo na Ukweli wowote, unawezaje ku prove hilo?
 
Ni upumbavu tu. Hakuna sehemu imesema hivyo katika uislam. Ni kuwa 'mlevi wa dini' ndiko kunapelekea watu wanaofikiri namna hiyo.
Tatizo ya Dini hizi za ki Abraham (lbrahimic religions) Zina watu wajinga ambao Ni extremist eti wenye msimamo mkali, ndiyo shida,wanabeba mapokeo kuliko maandiko, yaani MUNGU akuumbe ashindwe kuijua lugha aliyokupa mwenyewe baada ya kupangishwa kwa mnara wa Babel?
 
Mtume Muhammad (upon him be peace and blessing of Allan) amesema nyakati za mwisho ujinga utashamiri baada ya elimu.

Hata ndio lugha ya peponi sio sababu ya mtu kuacha kusoma lugha nyingine.
Tutapewa mwili mpya na tutanena kwa lugha ya kimbingu
 
Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!

Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?

Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi

Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
W.msalaam
Hili jambo kwa kifupi halina ushahidi wowote katika Quran na sunna, pia hakuna ushahidi wowote kutoka kwa wema waliotangulia kuliongelea swala hili na ni bora kuliacha kama lilivo. Mungu ni mjuzi zaidi.

Itapendeza zaidi individually mtu kujifunza kiarabu kwa maana ndio lugha ya Quran, je muislam hutaki kusoma vizuri maneno ya mola wako- itoshe kua sababu ya kujifunza kiarabu.
 
Back
Top Bottom