Video za Ngono

Video za Ngono

Famyff

Member
Joined
Mar 18, 2019
Posts
30
Reaction score
65
Mojawapo ya vilevi hatari zaidi duniani, kisaidizi katika kuharibu mahusiano, ndoa, uzalishaji, afya na husababisha mawazo.

Nilikuwa kwenye discussion leo kutoa mawazo yangu juu ya jambo hili kweli, na nakumbuka hii quote maarufu ya Salahuddin,
"Ikiwa unataka kuharibu taifa lolote bila vita, ifanye jamii ione uzinzi au uchi(kutojistiri) ni jambo la kawaida ."

Na jambo hili limeathiri jamii yetu kwa ujumla na kwa kiasi kikubwaaa.
 
Kwa mantiki hiyo,viongozi wetu ndo vinara wa kuangalia hizo video??..
 
Ila kwa utafiti wangu usio rasmi hizi video zinaongoza kwa kuangaliwa duniani
 
Achana na blue wewe, hapa kasimama mandingo pale yupo mwana mama nyomi banks au Cherokee da ssa.....[emoji1635][emoji108]
Kuna dogo wa kuitwa Jordy El-nino Pola,, anachowafanyia wamama wa kimarekani hatokaa aione mbingu dogo yule,, na ndo kwanza yuko under 20,,
 
naona una utani na baba mchungajiii, ivi hajatoa part 3?? siku izi kimyaaa naona ilimwathiri kisaikolojia
 
Achana na blue wewe, hapa kasimama mandingo pale yupo mwana mama nyomi banks au Cherokee da ssa.....[emoji1635][emoji108]
Kulia yuko lex na kapri stylee wanafanya yao!!!!dah,enzi hizo niko chaputa kwa kweli sitaki kurudi tena huko.
 
Mojawapo ya madhara ya porn yaliyomo ni kutoheshimu wanawake.Hii ni pamoja na kupuuza kwa kutazama wanawake badala ya kuwasiliana nao mtazamo ambao wanawake huonekana kama vitu vya tamaa ya wanaume.
 
Mojawapo ya madhara ya porn yaliyomo ni kutoheshimu wanawake.Hii ni pamoja na kupuuza kwa kutazama wanawake badala ya kuwasiliana nao mtazamo ambao wanawake huonekana kama vitu vya tamaa ya wanaume.
Aseee hii kweli hasa ukiwa unaangalia za milf au granny huwezi kua na adabu kwa wanawake.
 
Back
Top Bottom