Video za Ngono

Video za Ngono

Mojawapo ya vilevi hatari zaidi duniani, kisaidizi katika kuharibu mahusiano, ndoa, uzalishaji, afya na husababisha mawazo.

Nilikuwa kwenye discussion leo kutoa mawazo yangu juu ya jambo hili kweli, na nakumbuka hii quote maarufu ya Salahuddin,
"Ikiwa unataka kuharibu taifa lolote bila vita, ifanye jamii ione uzinzi au uchi(kutojistiri) ni jambo la kawaida ."

Na jambo hili limeathiri jamii yetu kwa ujumla na kwa kiasi kikubwaaa.
Naunga mkono hoja, ni addiction inayopelekea hadi magonjwa ya kisaikolojia hasa kwa vijana wanawaza kuangalia tu hizo picha na video. Inabidi tcra waangalie namna ya ku block hizo sites angalau kuokoa kizazi cha vijana wajikite kufanya na kufikiria mambo ya msingi zaidi
 
Malekani uchi ni jambo la kawaida.. Uzinzi ni biashara na inachangia pato la taifa.. Mbona hawajaangamia.????????

Huyo kiongozi uliyem quote lazima atakuwa n mjamaa, viongozi wajamaa ni wapuuzi fulani hivi..
 
Sijasema kuangamia, kua makini soma tena.
 
Kuna dogo wa kuitwa Jordy El-nino Pola,, anachowafanyia wamama wa kimarekani hatokaa aione mbingu dogo yule,, na ndo kwanza yuko under 20,,
Na kuna memba humu anajiita ivyo
 
Naunga mkono hoja, ni addiction inayopelekea hadi magonjwa ya kisaikolojia hasa kwa vijana wanawaza kuangalia tu hizo picha na video. Inabidi tcra waangalie namna ya ku block hizo sites angalau kuokoa kizazi cha vijana wajikite kufanya na kufikiria mambo ya msingi zaidi
Yataje au yaorodheshe hayo ya msingi tafadhali
 
mataifa yanayoongoza kwa raia wake kuziangalia ndo hizohizo ziko mbele*100 kimaendeleo, hizo za ulimwengu wa kwanza
 
Kuna dogo wa kuitwa Jordy El-nino Pola,, anachowafanyia wamama wa kimarekani hatokaa aione mbingu dogo yule,, na ndo kwanza yuko under 20,,
Image result for Jordi El-nino Polla
 
Naunga mkono hoja, ni addiction inayopelekea hadi magonjwa ya kisaikolojia hasa kwa vijana wanawaza kuangalia tu hizo picha na video. Inabidi tcra waangalie namna ya ku block hizo sites angalau kuokoa kizazi cha vijana wajikite kufanya na kufikiria mambo ya msingi zaidi
wanasubiri nini kufanya hivi aisee?
 
Back
Top Bottom