Recent content by FAMILY LAW

  1. F

    JamiiForums Tanzania TCRA: No. hii inaibia wateja +881842011294. Ifungieni!!

    jaman nilidhani ni mimi tu..kuna hii +88213200444 imeshanibeep cku 2 tena ucku sana ila cjawahi kupiga nikajua ni namba za nje..thnx jamii forum kwa darasa.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu anaweza kukosa kuitwa kwenye interview kwa sababu ya kutocertify vyeti,,,??

    let's wait and see., time will tel lakin zikitokea nafasi nyingine hakikisha unacertify
  3. F

    JamiiForums Tanzania Mtoto mkali huyuuuuuuuuuuuuuu!

    wa hivi kwetu rwanda wamejaa kibao plus height utawapenda.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    nimejitahidi kuangalia post hii kama aimeshareportiwa lakin sijaona.. kama ipo mtanisamehe..mwanahalisi imefungiwa kwa mda usiojulikana kwa kua limekua likiandika habari za kichochezi. source wapo radio
  5. F

    JamiiForums Tanzania Kama 'First Lady' ndiye huyu, Zitto sahau urais kabisa!

    punguzaa ukali wa maneno na umshukuru Mungu kama huna ndg hata mmoja ambae hujajikwaa..ina maana huyu dada anaukoma asijichanganye na watu? au huyo zitto wenu ni mungu? angekua smart na huo umri si angekua ameshaoa? mmezidi bwana.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya spika Anne Makinda kufokea watu kama watoto inanifanya nijisikie vibaya...

    msamehe bure, ulishamuona anamfokea lukuvi au wasira? hua anawafokea mnyika na lissu kwa kua anajua moto wao ukiwaka hauzimwi hadi fire wafike wakati huo fire wako mbezi moto unawaka kigamboni.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Bunge limeshindwa kupitisha Bajeti Kutokana na Uchache wa Wabunge LEO

    asante,..magamba yameenda wapi au ndo wkend.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kutesa familia na kufata makahaba wake za watu na umri huu 33

    Kama yuko dar anaweza akacheck na joyce kiria wa wanawake live show eatv wana shirika lao la mama na mtoto linaitwa HAWA
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kwa hili wabunge wote mnastahili pongezi japo kidogo.

    Hongereni wabunge wote kwa kutoa posho zenu za cku moja na kupelekwa katika maafa yaliyotokea z'bar..swali ni je, pesa zitawafikia walengwa? source; WAPO RADIO
  10. F

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kutesa familia na kufata makahaba wake za watu na umri huu 33

    mwambie aende ustawi wa jamii kama ni muslim aende BAKWATA wataitwa na kusuluhishwa na ikishindikana ataandikiwa barua kwenda mahakamani kuomba divorce ingawa kuna ground zinazoruhusu kuomba talaka hata bila kupitia katika m abaraza ya usuluhishi..eg ukatili anaofanyiwa na mme wake ni ground...
  11. F

    JamiiForums Tanzania TBC1 imepoteza mwelekeo!

    kumbuka kuna watanganyika waliokua wanaenda z'bar na sa wazawa wa z'bar.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Inashangaza kwa serikali ya tanzania kua hivi.

    Habari zinasema kua serikali ya tanzania haijatuma helikopta wala vifaa vya uokolezi kwenda eneo la tukio tofauti na reaction ambazo hua zinachukuliwa katika vurugu za kisiasa vyombo vya dola vinakua mstari wa mbele kutuma polisi na mabomu ya machozi..lakini umoja wa ulaya na serikali ya south...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Sugu: Salaam kwa Kova; Filamu yake na Mch. Gwajima haijaeleweka, arudi Studio

    nimekuelewa..asante kwa maelezo
  14. F

    JamiiForums Tanzania Sugu: Salaam kwa Kova; Filamu yake na Mch. Gwajima haijaeleweka, arudi Studio

    ndo nini? weka maelezo vzr tuelewe wote.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mahsusi Kwako!

    ndio, ulidhani mimi ni me? nimeamua kutumia hilo jina coz nilitokea kulipenda somo la FAMILY LAW.
Back
Top Bottom