Mtoto mkali huyuuuuuuuuuuuuuu!

Unapenda zile figure za uchokozi za kufanyia nini? Are you a lesbian?
Hahaha tukisifia tunaambiwa lesbian tusiposifia tuna donge.....mimi mambo ya XXL naona kama uzembe fulani bwana. Figure za uchokozi ndio nzuri zinapendeza zaidi kwenye mavazi. Mkirua , hebu nisaidie kaka!
 
MadameX tupo pamoja sana kwa hilo my dear....huyo anapendeza kumkodolea macho hapo kwenye picha lakini kunako 6x6 mh tabu tupu....Matembezini pia nako shida !!!! wengine hatupendi kuwa video za bure manake ukikatiza nae posta mpya all eyes on me....manzese ndo usiseme.....too much of anythiny ni harmful bhana.....
 
True, huyo uswahilini hukatizi nae kwa amani.....sasa raha iko wapi abaki nyumbani awe furniture labda. Ndinani , mambo hayo ya XXXL ni old school.
 
Hahaha tukisifia tunaambiwa lesbian tusiposifia tuna donge.....mimi mambo ya XXL naona kama uzembe fulani bwana. Figure za uchokozi ndio nzuri zinapendeza zaidi kwenye mavazi. Mkirua , hebu nisaidie kaka!
figa za kichokozi ndio zikoje? hebu funguka kidogo..
 
mtoto balaa,kapanda hewani sekunde,ananywele za singasinga ****** yamepangiliwa kama muhaya sura nzuri kama malaika,akienda chooni mimi nazan huwa anajisaidia keki na akipumua anatoa pafyumu mtoto mashalaaaaaaaaaah ,hebu nipeni namba zake nimwagie solution coz niko vibaya
 
halafu unakuta jinga flani ninammega kiulaini!!!!!!!!!!! na stress kibao linampa!
 
Back
Top Bottom