Kama 'First Lady' ndiye huyu, Zitto sahau urais kabisa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama 'First Lady' ndiye huyu, Zitto sahau urais kabisa!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by eumb, Jul 25, 2012.

 1. eumb

  eumb Senior Member

  #1
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh First Lady mtarajiwa, kaazi kweli kweli!!!

  [​IMG]
   
 2. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Hata sio ufirst lady..zitto ni Usalama wa taifa HATUFAI
   
 3. Vegetarian

  Vegetarian JF-Expert Member

  #3
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 80
   
 4. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #4
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 5. Arvin sloane

  Arvin sloane JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 963
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Una uhakika unachokisema???
   
 6. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Vijana mbona mnatumia hili jukwaa kirahisi rahisi hivi? yani wenzenu enzi zile naingia jamiiforums nilikuwa najiona miongoni mwa Great Thinkers maana nilikuwa najifunza mambo ambayo katika ndoto zangu yalikuwa yanapata hamasa na majibu ya niliyokuwa siyajui, kiukweli ilinijenga na nikajikita katika siasa kwelikweli kupitia hili jukwaa kwani tuliweza kujenga hoja madhubuti na zenye tija.

  angalizo nawapa nyinyi wajumbe wapya, fanyeni mlitumie hili jukwaa kwa nia ya kujifunza vitu na kuitambua siasa ya nchi yako kupitia hili jukwaa na achana kabisa na hizo habari za udaku ambazo mtoa mada umekuja nazo.
   
 7. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Miezi ya nyuma nilileta hii mada hapa jukwaani lakini kwa bahati mbaya MODs waliinyofoa dakika 20 baada ya kuiweka. Sina budi kurudisha hii mada baada ya sakata la Zitto Kabwe, Nassari, Halima Mdee pamoja na gazeti la Mwananchi. Kwa muda wa miaka kadhaa sasa, nimekuwa katika tasnia ya habari na lazima nikiri kwamba mengine yanayofanyika katika hii tasnia ni ya kukatiza moyo hasa kazi za wanahabari zinapoingiliwa na wanasiasa. Kwetu sisi wanawake inakuwa ni vigumu sana kukataa kutii haya maagizo ambayo mengine unaona kabisa ni za vitisho

  Zitto Kabwe, January Makamba, Bernard Membe na hata Ngeleja kwa siku za nyuma alishiriki sana katika kuingilia kazi za waandishi. Kinara wao akiwa Zitto January na Membe. Hawa viongozi hasa Zitto wamezoea sana kujiandikia makala na hata habari kisha kumlazimisha mwandishi kuzichapisha ukurasa wa mbele kwa gharama yoyote ile. Wanatoa hela nyingi sana kwa waandishi na wahariri. Mbaya zaidi ni kwamba hawa viongozi wanajitengenezea kashfa au kutoka ndani ya vyama vyao.

  Matokeo yake kesho wanaitisha waandishi tena kukanusha (kashfa) zao za kujipikia wakati ni wao ndio chanzo cha hizo habari. Lengo lao kubwa ni kutafuta huruma kutoka kwa umma wa kitanzania kwa vitu ambavyo havipo.

  Kinachonishangaza ni kwa nini mtu ajichafue kwa kujitengenezea kashfa maadui feki ndani ya chama chake heti ndio wanaomchafua kumbe ni yeye mwenyewe alafu kesho yake akane hizo taarifa? Nadhani tunaelekea kubaya hawa watu wakiendelea nah ii tabia. Moja ya habari hizi ni zile zinazomlaumu Mbowe kam mtazikumbuka..

  nawakilisha
   
 8. Noti mpya tz

  Noti mpya tz JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 936
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nilidhani wewe umejiunga jf enzi ya Jambo forums kumbe na wewe ni wa jana tu afu unajifanya wa mwaka 47. Watoto wengine bana.
   
 9. Rasib

  Rasib JF-Expert Member

  #9
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 395
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mkuu umeongea vyema kabisa.
   
 10. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #10
  Jul 25, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,932
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 11. nash2010

  nash2010 JF-Expert Member

  #11
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  So hii ilikua harusi yao!? If not u first lady unatokea wapi. Kwa kuparty bora zito kuliko mkazi wa magogoni wa sa hivi. Kama atachaguliwa kupitia njia sahihi kugombea uraisi ni poa tu.
   
 12. j

  jigoku JF-Expert Member

  #12
  Jul 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,347
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kwa muono wangu zitto= Shibuda
   
 13. Robato

  Robato JF-Expert Member

  #13
  Jul 25, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 375
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  .....hlf huyu mshkj inaonekana domo zege huyu!
   
 14. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #14
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ingawa yaliyoripotiwa yamokwenye gazeti la udaku, Zitto anazidi kujishushia heshima kwa kujiingiza kwenye makundi ya watu wachafu kitabia ambao hawana lolote la kutoa kwa jamii zaidi ya kumomonyoa maadili. Hicho kisichana alicho nacho mbona kwa mtu wa aina ya Zitto ni cha kuogopa kama ukoma. Sikumbuki kumuona Mwalimu Nyerere akipiga picha na watu wanaotia shaka hata kama walikuwa na mashabiki nchini. Wema ni alama ya ulimbukeni, ukahaba, ujinga na upofu. Kwa mwanasiasa makini alipaswa kuepuka viumbe kama Wema ambao hakika si wema bali balaa. Wema ni saizi ya malimbukeni wenzake wajiitao masupa staa wakati ni masupa balaa.
   
 15. Mkullya Damu

  Mkullya Damu Member

  #15
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 16. J

  JokaKuu Platinum Member

  #16
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,815
  Likes Received: 5,150
  Trophy Points: 280
  ..kwa hapo mimi naona anafaa.
   
 17. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #17
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Pathetic journalism!! Zitto might be ambitious which is his right
   
 18. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #18
  Jul 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Mnaaleta mada za udaku!
   
 19. F

  FAMILY LAW Member

  #19
  Jul 25, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  punguzaa ukali wa maneno na umshukuru Mungu kama huna ndg hata mmoja ambae hujajikwaa..ina maana huyu dada anaukoma asijichanganye na watu? au huyo zitto wenu ni mungu? angekua smart na huo umri si angekua ameshaoa? mmezidi bwana.
   
 20. m

  majebere JF-Expert Member

  #20
  Jul 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4,522
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Duh,zitto anakazi,naona wanacdm wa JF wameamua kumshambulia mtu wao.
   
Loading...