TCRA: No. hii inaibia wateja +881842011294. Ifungieni!!

duh e bwana eeeh hii no si chini ya mara tau nimepata missed call zake na nilipoipiga kiwango changu cha pesa kikatoweka!
 
hiyo namba ilinibeep kwa mara ya kwanza tar 8/08/2012, usiku nikahis ni namba ya nje. Kesho yake nikaweka vocha, kupiga nikasikia maelekezo ya kiswahili nkakata hapo sababu muda huo huo sim ilikuwa imepiga alam ya kuisha ela. Nilikuwa nimeweka buku na hazikuisha sekunde 4. Jana tena saa mbili usiku imenibeep tena. Nikaipotezea. Wana jf epukanane na hiyo namba ni HATARI. Nina tabia ya mtu akinitumia ela kwa simu huwa naziacha tu mpaka ziwe nyingi ndo nitoe, ila nimezitoa zote kabla hawa wezi wa mtandaoni hawajaruka nazo. +881842011294 wizi mtupu.

jaman nilidhani ni mimi tu..kuna hii +88213200444 imeshanibeep cku 2 tena ucku sana ila cjawahi kupiga nikajua ni namba za nje..thnx jamii forum kwa darasa.
 
Kweli kabisa na mimi ilinibip kwenye tigo kupiga ikasema nimekua mshindi wa droo halafu simu ikakata ikaisha hela! Kupiga na airtel inagoma inadema sina hela za kutosha
 
TCRA yenyewe cjui kama wanaweza kuwatrace hao watu,nina wasiwasi na uwezo wao kitecknologia,tutaibiwa sana mwaka huu,mm mwenyewe ilishawahi kunibeep kama mwezi mmoja hv uliopita sasa cjui kwa kuwa akaunti yng ya tigo pesa haikuwa na mapene hawakunikwangua ila wakijitera tu kuniibia naweka macho yao masaburini,mm c ndo mchawi juma bwana
 
Teknolojia zingine zinatumika kwaajili ya kuchota ulichonacho eitha benki, kwenye simu na mengineyo, duniani hackers hawakosekani, wako busy kubuni njia za kujipatia mambo kupitia njia ya teknolojia, watu wa IT watakuwa wanajua maana ya Network security!
 
hata mmm pia nliopata col toka hii namba ila nlichofanya kwenda kuipaste google zlkuja data nyng ambayo zinatoa onyo kuhusu hii namba ucpge maana cost ake ajab
 
dah, basi hili limetawala. Ni jana tu nimebipiwa na private number. Nawauliza tigo wamehangaika mpaka wakachemsha. Wakati private number zimezuiwa
 
yaani wewe unajitosa kabisa kuingiza kichwa kwenye mdomo wa mamba?

Kaka hukumbuki Wabongo tulivyokufa kwenye mabomu ya kwanza ya kule kambi ya jeshi ya Mbagala? Unajua kwa nini wengi walikufa?, ni kwa 7bu watu waliposikia milipuko walikuwa wanakimbilia kwenda eneo la tukio kuangalia ni kitu gani na wakati wanaenda ndo wakawa wanakutana na makombora kisha wanateketea.Ni kasumba ya Wabongo Wengi,unaambiwa huko kuna hatari Watu wanakufa unataka uone Wanakufaje? Kazi tunayo
 
Mbona nimeipiga haipatikani?

Dah!! ht miye imenibp juzi sema namba tofauti kidogo na hiyo,nilivyopiga crdt yote kwishnei!! ....... kumamamamamama ........ yao tigo,voda,airtel na hao TCRA
 
Hiyo namba imesumbua nch nying sana ukicheck jins ilivyo imejaa utata,
cha muhm hakuna kudeal na hio k2
 
hiyo namba ilinibeep kwa mara ya kwanza tar 8/08/2012, usiku nikahis ni namba ya nje. Kesho yake nikaweka vocha, kupiga nikasikia maelekezo ya kiswahili nkakata hapo sababu muda huo huo sim ilikuwa imepiga alam ya kuisha ela. Nilikuwa nimeweka buku na hazikuisha sekunde 4. Jana tena saa mbili usiku imenibeep tena. Nikaipotezea. Wana jf epukanane na hiyo namba ni HATARI. Nina tabia ya mtu akinitumia ela kwa simu huwa naziacha tu mpaka ziwe nyingi ndo nitoe, ila nimezitoa zote kabla hawa wezi wa mtandaoni hawajaruka nazo. +881842011294 wizi mtupu.

Hiyo namba inaayoanzia na +8818xxxxxxxx inaonyesha ni Satphone Thuraya TCRA hawana jinsi ya kuiungia, na huenda anekupigia ni mtu wako wa karibu. Bahati mbaya Satphone hazikai hewani muda wote na ukipiga unapokelewa na Voicemail inakula salio lako.
 
cha muhm kuwa makn tu
 
Cha kujiuliza hapo namba zetu wamepata wapi??nimebipiwa na hiyo namba juzi jioni.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom