Recent content by fakifuge2000

1. F

Zitto Kabwe aomba Bunge lisimamishe shughuli zote juu ya Jairo!

Kweli wakifanya maamuzi mazito Yesu anakuja siku hiyo hiyo kwa ndugu zangu tubuni nanyi ili Bwana harusi awkute mu tayari.
2. F

Meta sec mpo?

ina maana huwajui wako wapi
3. F

Mwandosya ajiuzulu?

si amini kama mwana JF anaweza fikiri na kuamini eti Prof ktk capacity yake anashindwa somesha mtoto wake ati anahongwa kusomeshewa mwanae,mtoto yule ni msomi wala siyo mbabaishaji wala siyo mzembe kama coconuts tusemee mengine yenye tija kwa taifa kama hamna tukae kimya tusikilize kwa...
4. F

Mwandosya ajiuzulu?

5. F

Pole sana Elia

naona litaka ktuonyesha kwamba Elia alikuwa marekani,kwenda siyo tatizo karudi na nini,
6. F

msaada please.............

mbu wa kwenye compound yenu hawazi ruka km 2 inakuwa ni mifugo yako mwenyewe na vivvyo hivyo na jirani yako ana mifugo yake mwenyewe,nakushauri angalia possible angles za mazalia ya mbu eneo lako fumigate mshauri na jirani yako naye aondoe mazalia ya mbu,Serikali ya CCM...
7. F

Mhindi akamatwa Dar kwa utapeli wa 30 billion shillings

Inabidi nyumba za msajili wapewe watumishi wa umma halafu tuwaambie wakajenge kule kibaha au bagamoyo
8. F

Majina ya waliokuwa shotlisted tpa

msaidie wewe sasa jinsi ya kuuliza maake uelewa wake ndiyo huo, dont just throw a stone on somebody.
9. F

Unosofa zilizo choka(chakaa)

plus plus fare and cost of living while in makete
10. F

kabila gani wanaweza kuongoza hii nchi kwa sasa hivi?

kwa kuangalia juujuu utaona director1 hakufikiri,lakini tukubaliane kuna makabila hayana system za utawala ambapo kiongozi alisimama na hata mababu zetu wakaendesha familia zao kwa mpangilio na ikawa ni sehemu ya maisha ya watu fulani.tumejionea viongozi mbali mbali na tofauoti zao fuatilia...
11. F

Mheshimiwa John Mnyika: What is Plan C

Unajua kinachoendelea hapa Tanzania ufisadi, kulindana katika maovu, ili hali watanzania wanaendelea kupata shida kila kukicha na hakuna mtu aliye diriki kumwambia mfalme Juha kwamba yuko uchi. Tunaendelea kushangilia, hata tukae barabarani NATO hawezi ku support kwani marekani mafisadi...
12. F

Unosofa zilizo choka(chakaa)

ndivyo tunajifunza piga namba 0713303701 ili uweze pata tengenezewa sofa lako lililo chakaa hapo hapo nyumbani kwako kwa bei nafuu
13. F

chuo cha ustawi wa jamii Dar

Kwa mara yangu ya kwanza Tanzania chuo kinafungwa sababu mkuu wa chuo na walimu wahihitilafiana wanafunzi waahirisha masomo.naomba ufafanuzi kwa wanaoelewa jambo hili
14. F

PHP / MySQL / Moodle Developer needed

wonderful hamisi what is php yaani the whole ni nini we have friends we can link
Back
Top Bottom