Yule aliyekuwa anafanya PhD? he kale kasichana nako kamezidi na kusoma bwana! roho inauma kweli aisee! kumbe ndiyo aliua Ttcl mpaka sasa inazidi kufa? ni yeye dah! kazi kwelikweli.alipindisha maamuzi baraza la mawaziri la kutokuuza ttcl? inamaana alipo wahi kuliambia bunge kwamba wale ni wababaishaji,halafu tena akabadilika ghafla kumbe ilikuwa hongo ya mwanae du!na baraza la mawaziri chini ya makapa nao wakamsikiliza ili mwanae apelekwe south Africa? Sasa kwanini tena alitaka kujiuzulu sababu ya kashfa ya Ttcl halafu akaambiwa akifanya hivyo baraza lote la Mkapa inabidi lijiuzulu??????? au labda tatizo ni CCM???? kwahiyo Ttcl imekufa sababu ya mtoto wake kupelekwa south africa??? kama ndivyo hivyo basi hata ndege ya rais ni yeye, rada ni yeye pia hata kama swala la ndege alipewa nakala ya barua ya waziri mramba huku yeye akiwa ni waziri mwenye dhamana hiyo kwa mujibu wa gazeti la Rai enzi hizo nayo tutasemaje? na maokola majogo waziri wa nishati na madini aliye sema swala la Tanesco maamuzi ya kuleta management ya matapeli wa South africa haikuwa maamuzi yake bali ni ya baraza la mawaziri, akatolewa wizara hiyo baada ya kusema hivyo akapewak Daniel yona Mnunuzi wa kiwira coal mine kwa bei ya kitapeli nalo unasemaje????? <br />
<br />
Tatizo ni CCM,IMEOZA KABISA,KUNA VIONGOZI WACHACHE SANA AMBAO WAO WAKIAMUA BASI,HALAFU KUNA MWINGINE HUYO DU YEYE NDIYO HAGUSWI MAANA YUPO JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU! anaweza hata kukusamehe kama umehujumu nchi,atakuambia rudisha na hakuna wakukuliza wala kusema!<br />
<br />
TANZANIA BILA UMEME INAWEZEKANA!