msaada please.............

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,883
nimewahi kusikia kuwa zipo dawa,chemicals ambazo ukipulizia ukutani
majumbani.mbu hawakanyagi kabisa nyumbani kwako kwa miezi kadhaa

mwenye kujua hizo dawa,please na wapi zinapatikana

naomba amwage data hapa.....


how to have a malaria free home,please
 
umejaribu kwenda kwenye duka la dawa za wadudu?.....huko utapata ushauri.........
ila kuna dawa moja sijui inaitwa Dragnet sina uhakika.......
 
mh! Hiyo inayowatishia mbu wa miezi mitatu we itakubakiaza?
Acha uzembe mkuu, shusha neti.
 
mh! Hiyo inayowatishia mbu wa miezi mitatu we itakubakiaza?<br />
Acha uzembe mkuu, shusha neti.
<br />
<br />
mbu wa kwenye compound yenu hawazi ruka km 2 inakuwa ni mifugo yako mwenyewe na vivvyo hivyo na jirani yako ana mifugo yake mwenyewe,nakushauri angalia possible angles za mazalia ya mbu eneo lako fumigate mshauri na jirani yako naye aondoe mazalia ya mbu,Serikali ya CCM ikishirikiana na marekali wamekula akili za watanzania tunafikiria style ya vyandarua badala ya kuondoa mazalia ya mbu
 
anyone??????//

Mpenzi, nafahamu kuna mti mmoja hivi ukiupanda nje kwako you kiss them mosquitoes goodbye ila siufahamu jina unless uugoogle huo mti. Sie nyumbani kwetu mama alipewa na rafiki yake naye mama haujui lakini hatuna mbu tena home.
 
Mpenzi, nafahamu kuna mti mmoja hivi ukiupanda nje kwako you kiss them mosquitoes goodbye ila siufahamu jina unless uugoogle huo mti. Sie nyumbani kwetu mama alipewa na rafiki yake naye mama haujui lakini hatuna mbu tena home.

niulizie ikibidi nije kwenu nioune aisee
 
Kuna duka moja la dawa za wadudu lipo barabara ya Nkuruma kwenye njia ya reli karibia na ofisi za Tigo.
Utapata pale jina limenitoka
 
Back
Top Bottom