Mhindi akamatwa Dar kwa utapeli wa 30 billion shillings

Mkuu hawa watu ndio maana Mtikila alitaka kuwashughulikia. Wanakula taratibu wala hawajionyeshi!! Hawajengi nyumba hapa TZ wao wanwekeza Canada na UK. Wanajifanya kuendesha viduka vya kuuza viungo vya pilau kumbe wanatupiga mapesa yetu kwa kushirikiana na viongozi wetu. Wanajifanya wanatafuna tambuu huku wamevaa hovyo kumbe wanamung'unya mali zetu!! Mimi si mbaguzi lakini siwapendi wao na viongozi wetu wanaoshirikiana nao.

Ndiyo maana Iddi Amin aliwamindi sana,biashara zao nyingi zimekaa ki-uwizi uwizi na utapeli,na viongozi wetu wanapenda kula nao

Taarifa kutoka polisi jijini Dar es Salaam ni kuwa polisi wamemkamata tapeli wa kimataifa mwenye asili ya India, Prakash Shah, ambaye ameiba zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa kuwatapeli wawekezaji wa kigeni kuwa atawauzia madini kupitia bandari ya Dar es Salaam.

Tapeli huyu yuko kwenye mtandao wa wafanyabiashara mafia wa Tanzania, wakiwemo wamiliki wa hoteli ya Talk of the Town iliyopo karibu na Msasani kwa Mwalimu jijini Dar.

Mhindi huyu atafikishwa mahakamani kesho Jumanne Agosti 23, 2011, kwenye mahakama ya Kisutu kusomewa mashitaka.

Kuna uwezekano waandishi wa habari wakazuiwa wasitoe habari ya kesi hii imalizwe kimya kimya kwani tapeli huyu wa kihindi anafahamiana na wakubwa wengi serikalini.

Eenhe hao wakubwa anaohusiana nao mh Lema nae yumo?

tunahitaji dikteta kuyashughulikia haya. Hakuna chama cho chote cha siasa nchini kinachoweza kukomesha hali hii. hata wanaopiga kelele si ajabu wanapiga kelele kwa kuwa wako nje!!

Hapo ndipo tunaposema kwamba nchi inahitaji u-turn & radical changes attached with change of mindset.

Akina Papa nanihiiii wahahusiji hapa kweli? Maana kama Papa nahihiii naye yumo jua hakuna kesi!!!! Hapo karibuni Papa nanihii alimpeleka mzungu hadi jeshini wakasainiana mauzo ya mabilioni ya Uranium baadaye wakambadilishia kasha pale pale. Msungu kuja kushtuka kumbe kashaliwa karudi jeshini nduki wakaanza kumshangaa!!! Kweli Tz ni nchi ya maajabu!!

tunahitaji dikteta kuyashughulikia haya. Hakuna chama cho chote cha siasa nchini kinachoweza kukomesha hali hii. hata wanaopiga kelele si ajabu wanapiga kelele kwa kuwa wako nje!!
Unaonaje tukupe wewe hilo jukumu? Maana unadai hakuna chama chochote kinachoweza kukomesha hali hii.

Akina Papa nanihiiii wahahusiji hapa kweli? Maana kama Papa nahihiii naye yumo jua hakuna kesi!!!! Hapo karibuni Papa nanihii alimpeleka mzungu hadi jeshini wakasainiana mauzo ya mabilioni ya Uranium baadaye wakambadilishia kasha pale pale. Msungu kuja kushtuka kumbe kashaliwa karudi jeshini nduki wakaanza kumshangaa!!! Kweli Tz ni nchi ya maajabu!!

Maane mbona unamficha huyo Papaa? mmwage hapa tumjue na yeye ajue tunamjua otherwise huu utapeli utaishaje kama tunaogopa hata mijizi!

naona tushakuwa sugu. hii inaitwa "tiba ya ganzi" kwani hii dozi ya 30 billion
inapiga ganzi tunasahau zile bilioni 18 za arusha. baada ya muda itakuja ganzi
nyingine ya kutufanya tusahau hii bilioni 30.

Well.. hivi vichwa havituumi kweli.. mara wanyama, mara madini, mara fedha .. duh!

taarifa kutoka polisi jijini dar es salaam ni kuwa polisi wamemkamata tapeli wa kimataifa mwenye asili ya india, prakash shah, ambaye ameiba zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa kuwatapeli wawekezaji wa kigeni kuwa atawauzia madini kupitia bandari ya dar es salaam.

Tapeli huyu yuko kwenye mtandao wa wafanyabiashara mafia wa tanzania, wakiwemo wamiliki wa hoteli ya talk of the town iliyopo karibu na msasani kwa mwalimu jijini dar.

Mhindi huyu atafikishwa mahakamani kesho jumanne agosti 23, 2011, kwenye mahakama ya kisutu kusomewa mashitaka.

Kuna uwezekano waandishi wa habari wakazuiwa wasitoe habari ya kesi hii imalizwe kimya kimya kwani tapeli huyu wa kihindi anafahamiana na wakubwa wengi serikalini.
hatutashangaa mkizuiwa coz washazoea

aaaaaaagh!!! halafu kila siku tunasema Mungu anajua, huu ni wehu wakutegemea Mungu atutatulie matatizo yetu wakati hata hiyo mijitu ikiiba inaomba Mungu isijulikane kuwa imeiba, jamani tuamke kutoka usingizini....

Mkuu hawa watu ndio maana Mtikila alitaka kuwashughulikia. Wanakula taratibu wala hawajionyeshi!! Hawajengi nyumba hapa TZ wao wanwekeza Canada na UK. Wanajifanya kuendesha viduka vya kuuza viungo vya pilau kumbe wanatupiga mapesa yetu kwa kushirikiana na viongozi wetu. Wanajifanya wanatafuna tambuu huku wamevaa hovyo kumbe wanamung'unya mali zetu!! Mimi si mbaguzi lakini siwapendi wao na viongozi wetu wanaoshirikiana nao.

Ni bora wamuache huru tu kuliko kupoteza gharama kwa mchezo ambao kumbe wanafahamiana na lao moja.
Fareed;
Taarifa kutoka polisi jijini Dar es Salaam ni kuwa polisi wamemkamata tapeli wa kimataifa mwenye asili ya India, Prakash Shah, ambaye ameiba zaidi ya shilingi bilioni 30 kwa kuwatapeli wawekezaji wa kigeni kuwa atawauzia madini kupitia bandari ya Dar es Salaam.

Tapeli huyu yuko kwenye mtandao wa wafanyabiashara mafia wa Tanzania, wakiwemo wamiliki wa hoteli ya Talk of the Town iliyopo karibu na Msasani kwa Mwalimu jijini Dar.

Mhindi huyu atafikishwa mahakamani kesho Jumanne Agosti 23, 2011, kwenye mahakama ya Kisutu kusomewa mashitaka.

Kuna uwezekano waandishi wa habari wakazuiwa wasitoe habari ya kesi hii imalizwe kimya kimya kwani tapeli huyu wa kihindi anafahamiana na wakubwa wengi serikalini

kweli sisiem imepoteza sifa za kuongoza nchi kwani kila sehemu wizi tu pesa, madini, wanayama, vipusa, mention anything wanakwiba tu! Sasa wanataka kuwatetea sijui watatetea watu wangapi?
TAFAKARI! CHUKUA HATUA!

GodfreyTajiri;
naona tushakuwa sugu. hii inaitwa "tiba ya ganzi" kwani hii dozi ya 30 billion

inapiga ganzi tunasahau zile bilioni 18 za arusha. baada ya muda itakuja ganzi

nyingine ya kutufanya tusahau hii bilioni 30.
Duh! Kweli mkuu. Walianza na DOWANS baada ya katiba kuwa jiwe la moto, DOWANS ikawashinda wakamleta Babu kupoza watz wasahau. Wakaibuka na mgao wa giza, change ya rada, wanyama kutoroshwa, ya Jairo, mara MSEKWA, mara wakili A_town, mara maji nako uchafu, mara Luhanjo, mara... Madudu yote.
Tunakazi kubwa mno watz.

Kila unapoibuka kuna keki kubwa tu ya taifa, wanaokula wako kimya wanaendelea kuvimbiwa wakati walipa kodi wanaendelea kukonda. Hivi hujiulizi kwa nini hao ambao wanaitwa ma-expatriate sijui nini mishahara yao kwa mwezi ni zaidi ya USD 10 000.00 na bado wanaambiwa wasilipe kodi lakini Athumani anayelipwa dola moja kwa siku anaambiwa alipe kodi.

Roho inauma sana yaani vijiyu vinakuja na Bachelor za collage kuzoa dollar 10,000 kwa mwezi hakuna hata anayefuatilia wakija Tanzania hawataki kuondoka inauma sana

Ndugu zangu kuna sehemu ifike watanzania tuitaji kuongozwa na wanajeshi sasa...mh kitillya katika mada yake moja ameenda rwanda majuzi akafika kule akapokelewa na docs 23455 zenye kuonyesha jinsi gan watu walivyopata shida kutoa magari yao na mbaya zaidi akaonyesha baadhi ya docs zenye kuonyesha makampuni feki yaliojazana pale alafu kikinuka unasikia anaesimamia hizo gari ni kampuni fulan..aliporudi dar alimuuliza msaidizi wa raisi kwa nini rwanda ikitokea mfanyakazi akaleta matatizo ya mwenye mali kushindwa kuondoa mzigo wake kesho hayupo hapa kuna shida gani akamjibu unajua rwanda wanaongozwa kijeshi huyu ni msaidiiziwa raisi unatarajia rais atakuwaje???

Back
Top Bottom