kabila gani wanaweza kuongoza hii nchi kwa sasa hivi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kabila gani wanaweza kuongoza hii nchi kwa sasa hivi?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by rosemarie, Aug 21, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  wakuu swala la ukabila kuongoza nchi haliepukiki,nilikuwa nasoma magazine kutoka south africa jinsi waqosa walivyo na uwezo mkubwa wa kuongoza nchi,mandela na thabo mbeki waote ni waqosa,jacob zuma ni mzulu na ndiye rais asiyeheshimika zaidi kwa sababu ya uwezo mdogo.kwa hapa tanzania ni kabila gani wana uwezo mkubwa?
   
 2. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Waman'gati nafikiri wako juu!
   
 3. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  Hivi kweli umekaa na kujiuliza kuhusu hii mada uliyoleta hapa? Hatuzungumzii kabila tunatizama uwezo wa mtu. Kwa kukufurahisha wewe basi tuseme ni kabila lako ndiyo linafaa.
   
 4. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kwa nini liwe kabila na siyo mtu?
   
 5. m

  muhanga JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kwa miaka ya leo na mageuzi yaliyopo duniani kote tunahitaji mtu mwenye uwezo, upeo wa kufikiri, mzalendo wa kweli, mwenye hofu ya Mungu na mwenye nguvu ya hoja ili atuongoze regadless anatoka kitongoji kipi ktk tanzania
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nafikiri wakweree wana uwezo mzuri
   
 7. u

  utantambua JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />

  Its not about ethnicity but ability to lead joh, ukiwa na qualities za uongozi hata uwe kabila gani zitaonekana tu
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wasonjo
   
 9. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #9
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Acha ufinyu wa fikra wewe. Nchi hii hatuzungumzii makabila tunapokuja kwenye suala la uongozi. Wewe umetoka Kenya nini??
   
 10. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,974
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  I agree! We huoni hatua za maendeleo tulizopiga? Japo ni hatua za kuendelea kurudi nyuma!!
   
 11. Baba Collin

  Baba Collin JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 458
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa tanzania ss hv wanapomchagua kiongozi hawaangalii kabila lake,ni uwezo tu na sera zinazokubalika.
  Habari za makabila nenda kenya kawaulize
   
 12. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  samahanai,

  hivi wewe mwenyewe mleta mada kabila gani?

  je unafaa hata kucheza kiduku?
   
 13. f

  fakifuge2000 Member

  #13
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa kuangalia juujuu utaona director1 hakufikiri,lakini tukubaliane kuna makabila hayana system za utawala ambapo kiongozi alisimama na hata mababu zetu wakaendesha familia zao kwa mpangilio na ikawa ni sehemu ya maisha ya watu fulani.tumejionea viongozi mbali mbali na tofauoti zao fuatilia system waliokulia toka babu zao hamna ka element ka uongozi leave alone formal education aliyopata.
   
 14. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #14
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hukusadifu kuingia Jf kutokana fikra finyu! Ni haswa lengo na madhumuni ya uzi wako! Kama vipi tumia majukwaa yafuatayo
  gossip & Jokes! Punguza mawazo mgando nahisi we hunatofauti na bibiako ambaye hatambui Qualities/qulifications of a gud leader! Kweli umeniboa! Ushindwe!
   
 15. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mkuu sio busara kutoa maneno makali kiasi hicho bila kufikiri,labda nikuulize swali,,,je kuna makabila yenye uwezo mkubwa kifkra kuliko mengine??je hiyo inaweza kusaidia kutuletea maendeleo haraka??
   
 16. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hivi hii mada haijafutwa au kuwa closed tu? ningekuwa mod hii mada isingedumu jamvini hata kwa dakika moja.
   
 17. Cookie

  Cookie Content Quality Controller Staff Member

  #17
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 1,924
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kazi kweli kweli MMU
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...