Unosofa zilizo choka(chakaa) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unosofa zilizo choka(chakaa)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by fakifuge2000, Aug 22, 2011.

1. f

fakifuge2000 Member

#1
Aug 22, 2011
Joined: Aug 15, 2011
Messages: 46
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
SISI ni mafundi wa kutengeneza sofa na kwa wale wanaotaka kubadilisha cover ya sofa tutafanyia nyumbani hapo hapo kwa bei rahisi

2. 22nd

22nd JF-Expert Member

#2
Aug 22, 2011
Joined: Aug 1, 2010
Messages: 498
Likes Received: 5
Trophy Points: 35
sijui nikuite kilaza? unatangaza biashara bila ya mawasiliano. unatafuta wateja au unatujulisha kwamba kazi yako ni ya kubadilisha ma sofa yaliyochakaa?

3. Eshacky

Eshacky JF-Expert Member

#3
Aug 22, 2011
Joined: Apr 26, 2011
Messages: 966
Likes Received: 29
Trophy Points: 45

tumwite FundiKiliza2000

4. f

fakifuge2000 Member

#4
Aug 22, 2011
Joined: Aug 15, 2011
Messages: 46
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

ndivyo tunajifunza piga namba 0713303701 ili uweze pata tengenezewa sofa lako lililo chakaa hapo hapo nyumbani kwako kwa bei nafuu

5. Lutala

Lutala JF-Expert Member

#5
Aug 22, 2011
Joined: Jun 17, 2010
Messages: 844
Likes Received: 17
Trophy Points: 35
Mie nipo Makete, sofa zangu zimechakaa sana. Lini mtakuja kufanya kazi hiyo?

6. M

Mapujds JF-Expert Member

#6
Aug 22, 2011
Joined: May 12, 2011
Messages: 1,291
Likes Received: 3
Trophy Points: 135
Ndugu nahitaji huduma yako nipo chamanzi.

7. Preta

Preta JF-Expert Member

#7
Aug 22, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 23,993
Likes Received: 2,715
Trophy Points: 280
Zangu panya wamefanya ndio gesti yao......njoo mara moja hapa Yaeda chini....unirekebishie....

8. Somoche

Somoche JF-Expert Member

#8
Aug 22, 2011
Joined: Oct 6, 2010
Messages: 3,662
Likes Received: 740
Trophy Points: 280
Hizo zina Sh...hawa nyingi sana loh

9. Bujibuji

Bujibuji JF-Expert Member

#9
Aug 22, 2011
Joined: Feb 4, 2009
Messages: 32,250
Likes Received: 15,061
Trophy Points: 280
wanapiga huduma za infidelity.

From Dar to Dar
short time tu... No fulltime service kama vile vigesti bubu nyuma ya Kona bar Afikasana

10. f

fakifuge2000 Member

#10
Aug 22, 2011
Joined: Aug 15, 2011
Messages: 46
Likes Received: 0
Trophy Points: 0

plus plus fare and cost of living while in makete

11. C

Chupaku JF-Expert Member

#11
Aug 22, 2011
Joined: Oct 15, 2008
Messages: 1,012
Likes Received: 111
Trophy Points: 160
Wasikuvunje moyo hawa, wengi kwanza sofa zao zimechokaaaa, watakupigia tu subiri. Kila la kheri!

12. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#12
Aug 22, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,201
Likes Received: 1,598
Trophy Points: 280
kabla ya kutengeneza hiyo gesti ya hao mifugo wako,nashauri nije mie kwanza kutoa huduma ya uzazi wa mpango! manake guest haitatosha watahamia jikoni,afu itakuwa balaa!huduma yangu free,ila uniweke hotel full board na mwenza unitaftie..

13. Preta

Preta JF-Expert Member

#13
Aug 23, 2011
Joined: Nov 28, 2009
Messages: 23,993
Likes Received: 2,715
Trophy Points: 280
usijali my dear.......viambatanisho vyote vipo......hakikisha unakuja na dawa kali sana......

14. Mvaa Tai

Mvaa Tai JF-Expert Member

#14
Aug 23, 2011
Joined: Aug 11, 2009
Messages: 5,918
Likes Received: 1,697
Trophy Points: 280
Well said

15. kimaus

kimaus JF-Expert Member

#15
Aug 24, 2011
Joined: May 10, 2011
Messages: 360
Likes Received: 57
Trophy Points: 45

hivi haya matangazo ya biashara huwa yanalipiwa humu? Mi nadhani lengo la hii forum sio kila anayejisikia kutangaza bidhaa yake afanye hivyo. We'll end up having commercials instead of vacancies. I stand to be criticised!

16. U

Ulimakafu JF-Expert Member

#16
Aug 24, 2011
Joined: Mar 18, 2011
Messages: 17,336
Likes Received: 473
Trophy Points: 180
Tutakufikia mazee.

17. t

tyadcodar Senior Member

#17
Aug 24, 2011
Joined: Aug 16, 2011
Messages: 170
Likes Received: 3
Trophy Points: 35

soma heading ya hii thread kwanza,halafu ujiulize maana ya nafasi za kazi,maana ya kazi nini?au kazi unayojua ni TRA , BOT VODACOM unakoproduce madagrii yako?huna jamaa ndugu yako atapenda ajifunze ufundi wa makochi ukamuombea kwa jamaa huyo,acha ubinafsi and think broad!!!!!!!!!!!!

18. Husninyo

Husninyo JF-Expert Member

#18
Aug 24, 2011
Joined: Oct 24, 2010
Messages: 23,774
Likes Received: 504
Trophy Points: 180

akitoka kwako muelekeze njia ya kuja mpwapwa arekebisha zangu.

Loading...