na Eugenia Kimolo
KESI ya madai inayomkabili Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency International, Hashim Lundenga, inatarajiwa kuanza kusikilizwa rasmi leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, chini ya Hakimu Jagalile Mwaseba.
Kesi hiyo iliyofunguliwa Agosti 5, mwaka huu na mke wa...