Asiyewahi kucheat na ataje jina kamili humu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Wana jf nimefurahi kuona wengi walikuwa makini kuwataja watu na kwa upande mwingine hongereni kwa kusaidia kubadilisha tabia za watu...ila nafikiri tuangalie wenyewe kwanza mwenye uhakika ajawahi kuzini yaani kutoka nje ya ndoa au nje rel ship yake
na aaanze kutaja jina lake na namba zake tuanze kupongezana humubadala ya kukaa na kuapakana huku tukiwa wachafu
nawasilisha
 
mimi ktk maisha ya r/ship ya kawaida cjawahi kucheat na pia toka nimeolewa ni miaka miwili sasa sijawahi kucheat na SITARAJII
 
Hata mimi sijawahi kucheat katika maisha yangu. nilikuwa na mpenzi wa kwanza akaingia mitini kwa sababu zake binafsi na sasa nina mpenzi mwingine ambaye tutahalalisha soon and i will never cheat. mimi nafikiri ku-cheat ni jinsi mind yako ilivyo. kuna watu ambo ni decent ila wanapokosewa na wapenzi wao then wanaamua kucheat kama njia ya kulipiza kisasi na pia kuna wale wasemao "utakulaje nyama kila siku inabidi ...".

Dada faith nakuunga mkono. am not sure kama ni faith ninayemfahamu. ila nia sio kujuana lakini namkumbuka faith mmoja ambaye pia alikuwa msafi unlike wadada wengi waliomzunguka kwa wakati huo. anyway iishie hapa, usiulize wapi huko au vipi Identity yangu isije ikamwagika hadharani buree.

BIG UP kwa wote watunzao relationships zao kwa dhati.
 
Wana jf nimefurahi kuona wengi walikuwa makini kuwataja watu na kwa upande mwingine hongereni kwa kusaidia kubadilisha tabia za watu...ila nafikiri tuangalie wenyewe kwanza mwenye uhakika ajawahi kuzini yaani kutoka nje ya ndoa au nje rel ship yake
na aaanze kutaja jina lake na namba zake tuanze kupongezana humubadala ya kukaa na kuapakana huku tukiwa wachafu
nawasilisha

MAMA MIA

Kuwa mwaminifu sio kazi ngumu. na unaposikia makelele ya watu kuwa fulani ka'cheat, fulani ana nyumba ndogo na fulani kafanye vile haimaanishi kuwa watu wote ni wazinifu.

binafsi sijawahi kucheat ktk uhusiano wangu na ninaona mifano mingine mingi tu ya watu wanaonizunguka ambao ni waaminifu ktk mahusiano yao na ndoa zao.
 
Wana jf nimefurahi kuona wengi walikuwa makini kuwataja watu na kwa upande mwingine hongereni kwa kusaidia kubadilisha tabia za watu...ila nafikiri tuangalie wenyewe kwanza mwenye uhakika ajawahi kuzini yaani kutoka nje ya ndoa au nje rel ship yake
na aaanze kutaja jina lake na namba zake tuanze kupongezana humubadala ya kukaa na kuapakana huku tukiwa wachafu
nawasilisha

Mbona unatuchanganya. Ni kipi unajaribu kutueleza?

.
 
sasa mbona wanaosema hawajawahi hawataji majina na kutoa no zao za simu as muanzilishi
wa thread alivyosema!maana tunaona tu mimi bado ila hayo mengine hayatimizwi!
Hapa kiboko!
inanikumbusha yule mama aliyezini watu wakampeleka kwa YESU!walipoambiwa ambae hajawahi awe wa kwanza kutoa jiwe!du walitoka balu!
 
Wana jf nimefurahi kuona wengi walikuwa makini kuwataja watu na kwa upande mwingine hongereni kwa kusaidia kubadilisha tabia za watu...ila nafikiri tuangalie wenyewe kwanza mwenye uhakika ajawahi kuzini yaani kutoka nje ya ndoa au nje rel ship yake
na aaanze kutaja jina lake na namba zake tuanze kupongezana humubadala ya kukaa na kuapakana huku tukiwa wachafu
nawasilisha

Sawa si uanze wewe kwa kuonyesha mfano...
Waswahili bana!!!!!
 
Most of us we don't keep records... lakini waungwana waliambiwa wataje majina yao tuwapongeze...

kwi kwi kwi!
 
mimi ktk maisha ya r/ship ya kawaida cjawahi kucheat na pia toka nimeolewa ni miaka miwili sasa sijawahi kucheat na SITARAJII

Wapo wengi ambao hawajawahi ku cheat maisha yao yote. Nawapongeza. Wapo walio cheat kwa kiasi kwa sababu ya visingizio vya mazingira mfano, ugomvi au kutoelewana na wapenzi au wenzi, kutokuwa karibu na mwenzi or mpenzi, and so many environmental factors. Wapo ambao ku cheat ni jadi yao kuwa are not influenced by environmental factors.

Wote hao wanao cheat si jambo jema. Tujaribu kujitawala katika hisia zetu, tuongozwe na akili au utashi zaidi kuliko matendo ya mwili. Amua kufanya mambo ya kuchosha akili zaidi pale unapopatwa na majaribu ya ngono au tuseme ku cheat na utazoea.

Sasa basi naungana na wote waliosema kuwa hawaja cheat. SIJAWAHI KU CHEAT MAISHA YANGU YOTE YA UBINTI NA SASA NI MAMA NIMEOLEWA NINA MIAKA KUMI KATIKA NDOA NA WALA SITEGEMEI KU CHEAT IN ANYHOW. NINASAFIRI TENA KWA MUDA, NINAFANYA KAZI NA WANAUME WA KILA TABIA AND ARE MY FRIENDS NA WANANIHESHIMU. HATA KUNITAMKIA UCHAFU WA KUNITAKA HAWAWEZI. NA HII INATOKANA NA NAMNA NINAVYO BEHAVE MBELE YAO NA MISIMAMO NA KUBWA KUTOKUWA NA TAMAA. RIDHIKA NA KILE ULICHO NACHO, VIKIWEMO MUME, MALI NA PESA N.K. UKIJIHESHIMU KILA MTU ATAKUHESHIMU. PERIOD.

SASA MAMA MIA TUANZE NA WEWE UME CHEAT MARA NGAPI? TRANSPARENCY ITAWALE HAPA!!!! KAZI KWAKO.
 
Hii wala haistahili kuwepo hapa JF katika forum yoyote ile :( :(
 
Hivi, Ku-fantasize au Ku-flirt na mtu fulani kuna-fall kwenye pool ya kucheat?
 
Mimi kuna kipindi nilitaka kujaribu kucheat yakanishinda.... bahati mbaya yeye ndo akawa anacheat.......... Mpaka sasa cjawahi cheat na cfikirii kama ntakuja cheat.... naitwa Rebecca Donald

Ningependa kusikia zaidi kuhusu hiyo mission japo ni ya kitambo; kama uko tayari ku-share lakini :)

.
 
Mimi nime cheat na bado nitacheat sitarajii kaucha...naomba hukumu yenu
 
sasa mbona wanaosema hawajawahi hawataji majina na kutoa no zao za simu as muanzilishi
wa thread alivyosema!maana tunaona tu mimi bado ila hayo mengine hayatimizwi!
Hapa kiboko!

HAYA MAMBO BABU KUBWA

MWANAKIJIJI WE MARA NGAPI???????????
 
Back
Top Bottom