SURA Vs BODY

This is against your previous Michelle Obama's Comments. Hongera Nyani kweli siku hizi post zako ziko juu sana, yaani nyani umekuwa na busara sana sijui kwa nini, au umeoa hivi karibuni nini?.

Michelle Obama is not Halle Berry...that's all I was trying to say then...or do you think she is a Halle Berry?
 
this is for men,nini muhimu kwako zaidi unapoanza uhusiano na bibie wako mpya. does a beautiful face matter over a bangin body or is the other way around?

wewe kama mwanaume utachagua nini kwanza ?

Umenifanya nijiulize maswali mengi. Sura ni nini? na Umbo (body) ni nini? Ukisema sura una maana ya uso peke yake au kichwa kwa ujumla (macho, pua, midomo,masikio, nywele, kichogo!)? Unapozungumzia umbo unamaanisha sehemu yote ya mwili ambayo si kichwa? au kiungo kimoja kimoja kama matiti, shingo,makalio, miguu, tumbo, mapaja (hips)n.k.

Kwa maoni yangu hivi vyote ama kimoja kimoja ama kwa ujumpla wake vinaweza kumvutia mwanaume. Kuna wanaume ambao ni 'walevi' wa matiti, wengine 'wanalewa' makalio, wengine hips tu, wengine nywele na hata kuna wengine miguu tu! Kwa maoni yangu, hisia zinazoamshwa na sura huwa na intensity tofauti na zile zinazoamshwa na viungo vingine, say matiti, tumbo (kitovu) nk.

Sauti pia ni attribute nyingine ambayo inaweza kumvutia mwanaume. Mwanamke hata kama ni mzuri (wa sura na body) lakini akiwa na besi (bass) kukushinda wewe mwanaume, most likely utam-disqualify.
 
kuna wanawake wengine wakishazaa tu maumbo hubadilika, je kama ulimpendea shape may be before she was slim/portable etc shape ikaja haribika baada ya kuzaa like kunenepa hapo napo vipi???
 
Mimi nadhani character ni muhimu kuliko vyote. Binafsi nitaanza na character na mengine yatajipa yenyewe tu. Of course there has to be some physical attraction also....but character is paramount

Mkubwa NN ni kweli 'Uzuri wa mwanamke ni tabia na si sura',lakini mkubwa kuna sura nyingine japo zina tabia nzuri zatisha na inakuwa ni noma hasa kwenye masuala fulani ya 'mtokooooz' kwenye hafla na sehemu mbalimbali zinazojumuisha halaiki
 
Kabla hujajua tabia ya mwanamke unaona sura/body kwanza ambavyo vinakuvutia na kumuomba urafiki huyo mwanamke baadaye ndiyo unapata nafasi ya kujua tabia yake kama inaendana na maadili yako au la. Kwa hiyo mimi binafsi sura kwanza halafu body kama vyote vinakuvutia hapo ndiyo unasonga mbele ili kujenga urafiki na hatimaye kujua tabia ya muhusika. Huwezi ukaijua tabia ya mwanamke kwa kumuona tu barabarani, labda kama ni katika zile arranged marriages.
 
Mkubwa NN ni kweli 'Uzuri wa mwanamke ni tabia na si sura',lakini mkubwa kuna sura nyingine japo zina tabia nzuri zatisha na inakuwa ni noma hasa kwenye masuala fulani ya 'mtokooooz' kwenye hafla na sehemu mbalimbali zinazojumuisha halaiki

Ndio maana nikasema pia ni lazima/ muhimu uwe physically attracted kwa huyo mtu. Sasa hii ni subjective. What turns me on may not be the same as what turns you on. For example, I'm a boob man. I love boobs. I just can't get enough of them. Mmmmhhhh...mmmhhhhh...mmmhhhhh
 
Officially we have Boob Man on JF alias Nyani Ngabu alias Leanback ha ha ha ha Sasa mbona hujatwambia size gani unapenda!? ;)
 
Hivi you guys mmekaa kudescribe tabia,sura ya uzuri wa mwanamke hivi mnadhani siye wanawake tupo desparate just to get man>for the record hata wanawake pia wana choice tena tupo so picky compared to you guys...we also love to be with a good looking man,with great personality,humble and a man who works hard and bring home check ya maana a man you can take home to meet your parents oops and guess what we value a man who is more educated maana conversation ina flow better, and not about sexy all the time there is a lot to talk about like global warming LOL!...

Anyways my point is not only guys manakaa mnafikira mwanamke gani unataka kutoka naye hata sisi wanawake we do the same...
 
C cups and up!

Matokeo yake ndiyo haya mnayaona these days kila mwanamke anataka c cup kisa mwanaume wake hayupo happy with how she look...guys youneed to understand not all women are the same,and know that not all men are the same too, kuna wanaume wengine wako worse than others...msitake nianze hapa maana you guys think you all perfect but in really life you all not pererfect...
 
Sweetheart, what's wrong with you today? You sound upset about something. Is it something I did or say? Talk to me....

You need not worry....you got the whole package......me and you can talk about "global warming" (I have to admit this had me cracking up) and still kick it the only way we know how....
 
Point to ponder - ikumbukwe - Mungu ameumba watu wote wazuri - I am talking of the inner man - hii body is just like a house to that person - hivyo uzuri wa mtu ni ndani ya moyo - unaweza ku - admire nje halafu ndani kumeoza - hivyo TABIA matters - mwanamke yoyote ni mzuri - akipambwa of course - hata kama we are talking of natural beauty lakini - aoge, avae vizuri, ale vizuri, awe na muda wa kupumzika - apendwe na wanaojua kupenda - outomatically atakuwa chombo kizuri - so men - mkiona vyaelea vimeundwa!!!!!!!!!!!!!
 
Upendo hutoka moyoni - otherwise - ukitoka mwilini ni tamaa i.e. the difference between LOVE and LUST - hajailishi mwanamke aonekane mrembo au wa kawaida tu - mwili ni UDONGO/MAVUMBI TU - na wengine wana udongo mzuri wengine mbaya - a lady of 20 looks 20 yrs older - and sometimes a lady of 40 looks 20 years younger .............so - Beuty is in the hands of the beholder -- cio
 
Sweetheart, what's wrong with you today? You sound upset about something. Is it something I did or say? Talk to me....

You need not worry....you got the whole package......me and you can talk about "global warming" (I have to admit this had me cracking up) and still kick it the only way we know how....

Oh well i guess you know me very well pookie..to say the truth yes somebody did upset me jana kwa kweli..Apparently i was having a conversation then all the suddleny akaharibu hali ya hewa,nikawa so dissapointted.You know kama nilivyosema kuna wanaume wengine wako very slow in thinking you know what i am saying!....with that sayind he made me angushia all my hasira to you...let me finish by saying i am sorry ok.
 
pole kelly01..tema nimchape aliyekuudhi

he doesnt deserve mrembo like u....kick his....to the curb
 
pole kelly01..tema nimchape aliyekuudhi

he doesnt deserve mrembo like u....kick his....to the curb

Nimeshapowa Utu wangu maana iibidi niingie Gym nikajifuw jana usiku kuondoa hasira zangu....Sasa hivi nipo very alright and i smell some fresh air with vanilla scent smell.
 
Oh well i guess you know me very well pookie..to say the truth yes somebody did upset me jana kwa kweli..Apparently i was having a conversation then all the suddleny akaharibu hali ya hewa,nikawa so dissapointted.You know kama nilivyosema kuna wanaume wengine wako very slow in thinking you know what i am saying!....with that sayind he made me angushia all my hasira to you...let me finish by saying i am sorry ok.

hey there my sugar plum.....just let not your heart be troubled.

you are still number one on my christmas list!!!
 
hey there my sugar plum.....just let not your heart be troubled.

you are still number one on my christmas list!!!

Well pumkin you know me i dont let small thing get into me,fo some reaosn i dunno what happen jana...

oh well my buttercup i am now looking forward to christmas...dont make me too excited ok!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom