FOR LIFE ni tamthilia ya kimarekani iliyotengenezwa na Hank Steinberg, Ilirushwa na kitua cha terevisheni cha ABC mnamo Februari 11, 2020.
Tamthilia hii inahusiana na kisa cha kweli cha bwana Isaac Wright Jr.., ambaye alihukumiwa kufungwa kwa kosa ambalo hakulifanya. Wakati akiwa gerezani...