dthe -mohammed
New Member
- Aug 11, 2022
- 4
- 0
Msaada nahitaji kununua desk top aina ya HP core 2 duo kwaajili yakucheza games kama fifa 22 na mengine vp jaman itasapot
Hata FIFA 2009 haiwezi.. tafuta pesa hiyo ni ya Stationary
Tafuta i5 au 7 ,yenye ram 8Duh sasa mkuu nipate ipi ambayo naweza chaza hizo game