#Weekendtvshow... Series Kali Ya Kuitazama Weekend Hii

Fabijr

Member
Sep 16, 2015
24
19
MV5BM2Q3MjQ3NDAtZDk4NS00MDIwLTllZGUtMmY1ZDU2OTJkNGY2XkEyXkFqcGdeQXVyMTMxODk2OTU@._V1_SY1000_SX...jpg


Mshauri wa maswala ya kifedha anaiingiza familia yake kwenye biashara ya madawa ya kulevya ambapo anatakiwa kutakatisha $500 Millioni ndani ya miaka mitano kutoka kwa wauza madawa ya kulevya (Caretel) wamexico... je ataweza kuikwepa mikono ya FBI na kuweza kutakatisha fedha hizo ili kuiokoa familia yake kifo au ataishia jera....

Ipakue Series hii kali ya OZARK 1-3 bure kwa link hii ShrinkMe.io
 
Back
Top Bottom