EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,701
- Thread starter
- #21
Niliivua cava ni IPhone 13Ilikuwa iPhone macho matatu au Vinus macho matatu maana zinafanana
Niliivua cava ni IPhone 13Ilikuwa iPhone macho matatu au Vinus macho matatu maana zinafanana
Mimi hiyo 13 sio yangu 😂 nimekwambia nina picha zake tuPiga picha saivi uweke hapa kama ushahidi
AiseeMimi hiyo 13 sio yangu 😂 nimekwambia nina picha zake tu
Mzee Kinana nilimwona nayoHumu ndani hamna mwenye iphone 13?
Weka hapa picha zote mbili na sie tuoneWeekend iliyopita nilisafiri kwenda Bagamoyo tulikuwa na event ya kikazi kule.
Basi wakati michezo beach dada mmoja wakishua akaniachia simu yake nimshikie akaogelee ilikuwa ni iPhone 13 maarufu kama macho matatu.
Haikuwa na password so nikaenda kwenye camera nikiwa nimeshika simu mbili kwa pamoja yaani kulia macho3 kushoto macho2 ya Samsung Note8 nikawa napoint kwenye object 1, aisee Samsung note8 kampiga gepu mbaaali sana huyu iPhone 13.
Najua mtakuja kujitetea ila ukweli ndio huo. Huyu sister ni wakishua hasaa so msije na lame excuses kwamba ni copy maana licha ya kwamba ni wakishua kwao ila hata yeye na mumewe wako vema sana.
Anayebisha siku ajaribu kulinganisha halafu aje na mrejesho.
Majaribio yalifanyika mchana na jua linawaka.
Nmecheka kwa nguvuNgoja mboga saba wenzaki waje



Hii sio iPhone.. patia ni camera ya simu gani.. iPhone wanajionaga sanaaa... 😏😏😏Nina picha za iPhone 13
Weee ile ni simu afu simu tena, mchawi setting nakwambia.
Hii sio iPhone.. patia ni camera ya simu gani.. iPhone wanajionaga sanaaa...View attachment 2114349

Niliivua cava ni IPhone 13
iPhone wakiambiwaga sim zao chenga wanamind.. sema jamaa alipata kiiPhone fakeHapo tu kwenye kuvua kava na kujua ni iPhone 13…Tayari inaonesha hilo ni famba…..ungetuambia uliingia (settings>general >about) kidogo tungekuelewa kuwa hio ni iPhone 13 na hakuna 13 ambayo ni macho matatu macho matatu ni 13pro na 13pro max….huyo kapigwa hakuna iphone 13 hapo huwezi sema eti nilivua kava since iphone haiandikwi nyuma kua ni iphone ngapii

TecnoHii sio iPhone.. patia ni camera ya simu gani.. iPhone wanajionaga sanaaa...View attachment 2114349
hasira ya kazi gani.. iPhone 13, iPhone 12 zote nimekuwa nazo kwa nyakati tofauti na nimezitumiaMbona una hasira mkuu![]()
Si ile huwawei yetu? Leta zile za iphone macho ma3 🤣🤣Hii sio iPhone.. patia ni camera ya simu gani.. iPhone wanajionaga sanaaa... 😏😏😏View attachment 2114349
🤣🤣🤣🤣 eti jamani? Au alitoa kava kuangalia ni macho mangapiHapo tu kwenye kuvua kava na kujua ni iPhone 13…Tayari inaonesha hilo ni famba…..ungetuambia uliingia (settings>general >about) kidogo tungekuelewa kuwa hio ni iPhone 13 na hakuna 13 ambayo ni macho matatu macho matatu ni 13pro na 13pro max….huyo kapigwa hakuna iphone 13 hapo huwezi sema eti nilivua kava since iphone haiandikwi nyuma kua ni iphone ngapii