Jinsi ya kupata Agent wa kusafirisha bidhaa Kutoka Alibaba

Fabijr

Member
Sep 16, 2015
24
19
Habari wakuu. Kama kuna mtu ana uzoefu wa kununua bidhaa Alibaba huwa ukishamalizana na muuzaji anakuomba adress ya agent ambaye atakusafirishia mzigo wako kutoka China hadi Bongo.. Kwa uzoefu wenu ni Agent yupi bora na anayeaminika katika kufanya kazi hiyo?
 
Wanauwezo wa kupokea kontena ngapi?
🚮🚮🚮Mm ni mtu mzima boss. Ninapochangia kitu, nakichangia nikiwa nawaza kumsaidia mtoa mada.
Na wewe nakufundisha. Huwezi kuwa unataka bidhaa allibaba yenye ujazo wa contena. Hii itabidi utumie suppliers na agents unaowafahamu.
Utakua huna akili ukutane na supplier alibaba then umlipe bidha. Za kujaza contena tena lije tanzania.
Think twice comment zako. Utakuja kulawitiwa.
 
Ushawahi agiza Alibaba? If yes basi utakuwa unaelewa umuhimu wa agent if not basi utakuja hapa tena kuomba msaada wa agent.
Nimeagiza mara nyingi boss. Nadhani sijaelewa content au size ya mzigo wake. Angefunguka hapo. I use alot alibaba. Kwa vitu vyangu vya gari au nyumbani.
Na pia natumia alibaba popote napoweza kuaccess post office. Hata nikiwa safari. Naifahamu vizuri
 
Habari wakuu. Kama kuna mtu ana uzoefu wa kununua bidhaa Alibaba huwa ukishamalizana na muuzaji anakuomba adress ya agent ambaye atakusafirishia mzigo wako kutoka China hadi Bongo.. Kwa uzoefu wenu ni Agent yupi bora na anayeaminika katika kufanya kazi hiyo?
Kuna huyu Skycargo.com wa kariakoo aliwahi kuja hapa kutangaza Kazi hii.

Inaonekana anaijua vizuri mfatilie ufanye naye kazi. Tena anadai mzigo unakufikia in 5 days only.
 
Habari wakuu. Kama kuna mtu ana uzoefu wa kununua bidhaa Alibaba huwa ukishamalizana na muuzaji anakuomba adress ya agent ambaye atakusafirishia mzigo wako kutoka China hadi Bongo.. Kwa uzoefu wenu ni Agent yupi bora na anayeaminika katika kufanya kazi hiyo?
Habari,

Karibu CITIZEN CARGO LTD

Kampuni ya usafirishaji wa mizigo kutoka CHINA kuja TANZANIA Kwa Ndege (Express Air Cargo)

Gharama zetu ni nafuu kama ifwatavyo;

1. From 1Kg - 10Kg: 12$/Kg
2. From 11Kg - 20Kg: 11$/Kg
3. From 21Kg & Above: 10$/Kg

NB: Bei zetu ni Negotiable.

Muda ni siku 3.

Asante
Yohane Sunguya
Citizen Cargo Ltd
10th Floor, Ushirika Tower
Dar es salaam, Tanzania
0717935186 | 0692899234
citizencargotz@gmail.com
 
Sijachanganya mkuu. Mimi sio hizo tu natumia hadi Tao bao hawa ndio huwa natumia adress ya mtu china then anapelekea shipping company.
Okay huwa unachagua shipping method option gani ? Maana bei za shpping zimechangamka na kila ukiongeza item bei inaongezeka
 
Back
Top Bottom