MONEY HEIST SERIES: Character gani ulimkubali kinoma/ulimchukia kutokana na kuitendea haki part yake?

Kuna speculations huko kuwa Berlin hajafa, na wanasema huyu alicia mama kijacho ndo yule mke wa Berlin ambaye walifunga naye ndoa wakiwa Italia. Hebu fikiria season 4 hii ndoa ya Berlin wanaipa airtime ya kutosha, kuna dots za kuunganisha hapo
Season 5 ina majibu ya maswali mengi sema corona ndo itaichelewesha tu.

Berlin na Nairobi (RIP) I'm attracted kwa wanaokufa naona. These two guys hawana mzaa mzaa, full of confidence na wakiwa kwenye team motisha inakua juu, sometimes they act like they don't care ila deep inside they do.

Arturito anakera balaa.
 
Nilisoma sehemu Inspector Raquel (Lisbon ) alipatwa na Corona, tuombe apone maana akiondoka italeta shida tena kwenye casting
 
Mbona sioni haters wa palemo? Huyu jamaa na ukurupukaji wake ndo alisababisha Gandia akatoroka na kusababisha kifo cha Nairobi
 
Kuna speculations huko kuwa Berlin hajafa, na wanasema huyu alicia mama kijacho ndo yule mke wa Berlin ambaye walifunga naye ndoa wakiwa Italia. Hebu fikiria season 4 hii ndoa ya Berlin wanaipa airtime ya kutosha, kuna dots za kuunganisha hapo
Season 5 ina majibu ya maswali mengi sema corona ndo itaichelewesha tu.
Berlin died, yaani zile risasi alizomiminiwa there's no way atapona hata story waipindishe vipi.
Em angalia kifo cha jamaa alafu niambie atapona vipi
 
Usisahau hii ni series mkuu, kama tukio limepangwa hivyo hakuna namna, let's wait and see, najaribu ku speculate tu
Berlin died, yaani zile risasi alizomiminiwa there's no way atapona hata story waipindishe vipi.
Em angalia kifo cha jamaa alafu niambie atapona vipi
 
Berlin died, yaani zile risasi alizomiminiwa there's no way atapona hata story waipindishe vipi.
Em angalia kifo cha jamaa alafu niambie atapona vipi

Mwandishi ndio anaamua kila kitu hata achinjwe atatembea hivyohivyo tu.
 
Kuna speculations huko kuwa Berlin hajafa, na wanasema huyu alicia mama kijacho ndo yule mke wa Berlin ambaye walifunga naye ndoa wakiwa Italia. Hebu fikiria season 4 hii ndoa ya Berlin wanaipa airtime ya kutosha, kuna dots za kuunganisha hapo
Season 5 ina majibu ya maswali mengi sema corona ndo itaichelewesha tu.
. Mbona noma sana
 
Back
Top Bottom