Recent content by Expensive life

  1. Expensive life

    Nyie kuna uhuni nimewanyia 1xbet sasa najuta naomba msaada

    Ngoja wazee wa kuweka mizigo waje
  2. Expensive life

    Mashabiki wa Simba SC mnakumbuka hii

    Kujiwekea malengo ni jambo lingine na malengo kutimia ni jambo lingine pia. Ni kwaida tu jambo kufeli au kutiki.
  3. Expensive life

    Mnaoruka na wake za watu / waume za watu huwa hamuoni kinyaa?

    😃😃 kwamba akija unamwambia aioshe kwanza
  4. Expensive life

    Mnaoruka na wake za watu / waume za watu huwa hamuoni kinyaa?

    Unajua kabisa kuwa yelu ni mke/ mume na fulani na wewe unakwenda kuingiza au kuingizwa humo humo, midomo aliyeinyonya yule na wewe unakwenda kuinyonya hiyo hiyo .assshh kinyaaa, ni sawa na kula mnyama ambaye amekufa kibudu. Bora uwe hauji mahusiano aliyonayo yaani unajua kabisa usiku kucha...
  5. Expensive life

    Tuenjoy maisha ndugu zangu, maisha yenyewe mafupi haya

    Ni mmea ambao unamea kwa kipindi fulani baada ya hapo unanyauka na kufia huko.
  6. Expensive life

    Tuenjoy maisha ndugu zangu, maisha yenyewe mafupi haya

    Eeeeh, alienda kwa kutumia kifaa gani?
  7. Expensive life

    Tuenjoy maisha ndugu zangu, maisha yenyewe mafupi haya

    Kabisa ndugu yangu, pesa pesa
  8. Expensive life

    Tuenjoy maisha ndugu zangu, maisha yenyewe mafupi haya

    😃😃 wee alikufa alafu akafufuka?
  9. Expensive life

    Tuenjoy maisha ndugu zangu, maisha yenyewe mafupi haya

    Vitabu vya dini vinasema kuna maisha huko mbinguni baada ya kifo, ndugu zetu waislamu wameahidiwa mabikra 72 huko peponi. Yote yaliyosemwa kwenye vitabu vya dini kuhusu maisha baada kifo imebakia kuwa fumbo kwetu, maana hakuna aliyeenda huko na kuleta mrejesho, hata yesu mwenyewe alisema...
  10. Expensive life

    Wanaume kamili tukikutana hatuulizani majina, kabila hata kazi, hongera kwetu vidume vya mbegu

    Mwanaume kamili haujui kutofautisha Kati ya kabila na kabira
  11. Expensive life

    Nani bado anabisha kuhusu S2KIZZY kuwa ndio producer namba moja Tanzania?

    Wakawaida tu huyo, hagusi hata chembe kwa Nahreel
Back
Top Bottom