Tuenjoy maisha ndugu zangu, maisha yenyewe mafupi haya

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,778
5,652
Vitabu vya dini vinasema kuna maisha huko mbinguni baada ya kifo, ndugu zetu waislamu wameahidiwa mabikra 72 huko peponi.

Yote yaliyosemwa kwenye vitabu vya dini kuhusu maisha baada kifo imebakia kuwa fumbo kwetu, maana hakuna aliyeenda huko na kuleta mrejesho, hata yesu mwenyewe alisema atarudi, ila mpaka leo bado hajarudi.

Tuenjoy maisha ndugu zangu, najua kuna kipindi tunapitia magumu yenye maumivu makali, ukipata time ya kuenjoy maisha enjoy maisha yenyewe mafupi haya.

Sasa si mpaka uwe na hela?
 
Kabisa, juzi nilikuwa kwenye kongamano la pastor kapola

Kasema hivi hivi

Wakristo wanajibana bana na sheria, kuleni maisha!

Yesu ni wa raha, ukimuamini atakujazilishia ili ukastarehe😁
 
Back
Top Bottom