Recent content by Euphransia

  1. E

    Kesi ya msanii Lulu (Elizabeth Michael) iliishia wapi?

    Wadau naomba kujuzwa Juu ya Kesi ya Mauaji ya Msanii Steven Kanumba iliyokuwa inamkabili Msanii Elizabeth Michael " LULU" iliishia wapi? Ni muda mrefu sijaisikia kuendelea.
  2. E

    Yanga kutwaa ubingwa mara 25 lakini hakuna mafanikio kimataifa ni aibu

    Simba kacheza Fainali klabu bingwa Afrika Yanga utabaki wa ndanda mtibwa Na toto
  3. E

    Vazi jeusi kwenye msiba ni utamaduni wa kitanzania au kutoka Ulaya?

    Kuna wapumbavu wamekomalia eti vazi jeusi lazima kwenye misiba
  4. E

    Ni halali kwa gazeti la Tanzania Daima kufungiwa!

    Hata la Uhuru nalo ni halali likifungiwa
  5. E

    Waziri Mwakyembe: Msanii anayetaka kuzungumzia siasa, akagombee ubunge au udiwani

    Kwa hiyo Chama letu la TOTI vipi ile CCM MBELE KWA MBELE?
  6. E

    Josephine Lemoyan na Pamela Maasay wachaguliwa kuwa wabunge wa Afrika Mashariki kutoka CHADEMA

    Wabunge wa CCM vihiyo wengi kina Ally kessy , Maji marefu unatarajia nini
  7. E

    Waziri Mwakyembe amebadili gia angani?

    Ndio mawaziri wa Awamu ya Tano kweli watatuletea viwanda mawaziri vigeugeu?
  8. E

    Yanga kutwaa ubingwa mara 25 lakini hakuna mafanikio kimataifa ni aibu

    Yanga ni klabu kongwe katika Tanzania.Imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Tanzania Kwa mara 25. Pamoja Na kuwa klabu kongwe lakini haina Rekodi ya kujivunia kimataifa zaidi ta kushuriki tu Ni aibu Kwa Klabu kama Yanga.Tp Mazembe imeundwa hivi karibuni lakini Mafanikio yake Makubwa imecheza Fainali ya...
  9. E

    Baada ya Kuwagaragaza vijana wa vyama vya Upinzani kwangu Mimi Paul Makonda ni mfano wa kuigwa

    Mkuu umelipa mini? Makonda atabaki kuwa Bashite milele Na milele Historia itamhukumu tu kuwa aligushi vyeti hata we we unajua ila utafanyaji umelipwa?
  10. E

    Vazi jeusi kwenye msiba ni utamaduni wa kitanzania au kutoka Ulaya?

    Wajuzi wa mambo, Kumekuwa na mjadala juu ya vazi wakati wa misiba. Wapo wanaosema vazi jeusi ndio sahihi na wapo wanaosema vazi lolote. Najiuliza kama vazi jeusi ndio sahihi je ndio utamaduni wa Mtanzania au tumeiga kutoka Ulaya?
  11. E

    Hali ya Komredi Kinana

    Polepole , kinana mlimpa likizo ya ugonjwa gani?
  12. E

    Mkuu wa mkoa wa DSM Vita dhidi ya Madawa ilikuwa Kwa kina Mbowe, Gwajima Na Manji?

    Mh.Paulo Makonda Mkuu wa mkoa wa DSM ile kampeni yako ya madawa ya kulevya ilikuwa kwa ajili ya Mh.Mbowe, Askofu Gwajima Na Rais wa Yanga tu?
  13. E

    Rais Magufuli atoa msaada wa magari ya kubebea wagonjwa kwa wabunge wa Nkasi, Tabora na Shinyanga

    Hivi ni msaada au jukumu la Serikali Kwa wananchi wake?
  14. E

    RC Gambo amjibu Lema kuhusu ubaguzi

    Gambo unajulikana Kwa sifa uligombania mradi wa Hospital, Ulimchongea MKUU wa mkoa ndio ukapewa were kumbuka Malipo ni hapa hapa duniani
Back
Top Bottom