Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Wadau naomba kujuzwa Juu ya Kesi ya Mauaji ya Msanii Steven Kanumba iliyokuwa inamkabili Msanii Elizabeth Michael " LULU" iliishia wapi? Ni muda mrefu sijaisikia kuendelea.
Mkuu mbona unafukua makaburi?Wadau naomba kujuzwa Juu ya Kesi ya Mauaji ya Msanii Steven Kanumba iliyokuwa inamkabili Msanii Elizabeth Michael " LULU" iliishia wapi? Ni muda mrefu sijaisikia kuendelea.