jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,533
Leo gazeti hili limekuja na kichwa cha habari ''Madaktari 134 Muhimbili wana vyeti feki"
hii quote siyo rasmi lakini kwa waliosoma gazeti hili watatambua kuwa gazeti hili limeongelea ile list ya Watumishi wa MNH waliokutwa na vyeti vyenye utata.
Nimeshangazwa na mhariri wa gazeti hili kwa kushindwa kutofautisha madaktari na kada nyingine za afya.
Kiukweli ni daktari mmoja tu kwenye orodha ya watumishi wa muhimbili aliyeorodheshwa kuwa na vyeti tata...the rest ni wauguzi na kada nyingine.
Nitashangaa sana kama muhariri wa gazeti hilo hatachukuliwa hatua na wanatasnia ya habari au wizara husika.
Je mhariri wa gazeti hili ni nani?
Ana elimu gani?
Kwa nini gazeti hili lisufungiwe kwa uzushi?