Recent content by ESCO

  1. E

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba kuelimishwa, nimelipia umeme tangu tar 23 May 2019. Eneo Mamsera Juu Wilaya ya Rombo, Kilimanjaro, hadi leo sijapata huduma. Namba ya utambuzi 204 Bill 991031038449. Tatizo ni nini na nitapata huduma lini? au nifanye nini kupata huduma hii? Contact Me 0754 363 941. Thanks
  2. E

    JamiiForums Tanzania Fine ya kuchelewesha road licence ipo vipi

    Penalty ni 25% ukichelewa zaidi ya siku 30. Kwa wewe (laki 2) utalipa sh. 50,000 hata kama utachelewa miaka 3. Kalipe kodi kwa maendeleo ya taifa. Usisahau kuongeza za fire extinguisher kama Tzs 40,000/=.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Serikali inapowakatili raia wake kodi za kuingiza magari: Nini kifanyike?

    Ni mada nzuri. Rekebisha mwaka 20012 bado sana kufikia. Umerudia ndani na kwenye heading. Napita tu
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ezekekiel Maige: Tumtendee haki, wizara anayosimamia ni kubwa sana

    Tafadhali mtoa mada badili jina kwenye Heading. Sio Ezekekiel ni Ezekiel.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Water tanks na kutengeneza kisima

    Ukinunua Water Tanks, maji utayapata wapi? Kuchimba kisima kunategemea upatikanaji wa maji eneo ulilopo. Je umeshapima maji chini ya ardhi yanapatikana mita ngapi? Kila mita itakugarimu hadi laki moja kuchimba, je gharama umizifikiria? Wengine watakushauri zaidi.
  6. E

    JamiiForums Tanzania NEC ya dharura Dodoma kishindo gani?

    Ingekuwa safari ya ngapi vile? =======323 du!
  7. E

    JamiiForums Tanzania JIHADHARI NA MATAPELI PROMOTION YA tIGO

    Asante ndugu. Mtandao huu nautumia kama ziada tu (kupiga na kupokea simu tu) . Hivyo sikujua kuhamisha salio, na sasa najua. Hoja yangu kuwahadharisha na huyu Tapeli. Hii namba (0652165304) ninaipiga inaita bila kupokelewa (hata wewe jaribu). Huyu anaendelea na utapeli wake. Naomba mwenye namba...
  8. E

    JamiiForums Tanzania JIHADHARI NA MATAPELI PROMOTION YA tIGO

    Kuna utapeli mpya umezuka wakati huu wa Promotion za tIGO. Nimetumiwa sms toka +255652165304 inasomeka hivi " PATA OFA KABAMBE KUTOKA tiGO WEKA SH,5000 KATIKA AKAUNTI YAKO KISHA TUPIGIE SIMU NAMBA *101*652165304*4848#OK UTAKUWA NA SH,10000 PAPO HAPO tiGO" NIMEJARIBU NIKALIZWA , NAKATUMIWA...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wakulima na wafugaji Kilosa. Barabara yafungwa.

    Wanajamii. Natoka kilosa mjini kwenda Dumila. Tumefika katikati eneo la Msowero. Magari yamezuiwa na wakulima kupita tangu asubuhi. FFU wapo tayari eneo la tukio. Anasuburiwa Mkuu wa wilaya atoe kauli ya serikali kwani mgogoro ni wa miaka mingi. Jana mkulima mmoja kawawa na wafugaji (Wamasai).
  10. E

    JamiiForums Tanzania The Engineers tafadhali msaada wa haraka

    Tueleze unataka kujenga wapi?, Je una kiwanja! Kama una kiwanja , umetafuta ramani ? Pesa yako (5m) inatosha kuanza ujenzi, na utafanya finishing taratibu. Kila la kheri
  11. E

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya ya PAYE

    Mkirua, Namba moja naomba ufafanuzi! 2036,666*10% = 183,2994 kivipi? Kihesabu 2,036,666 *10% ni 203,666/= Pili, Umezingatia hili kuwa maximum Tax deductible NSSF ni 200,000?= Hivyo Taxable amount ni 2,036,666 - 200,000 = 1,836,666/= sasa endelea na uhasibu wako. Naomba kusahihishwa!
  12. E

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

    Rekebisha Heading Mkuu. Mbagala au Gongo la Mboto! Endelea Kutuhabarisha sie tupo ofisini . Generator inakula wese tukisuburi mitambo mipya ya dharura.
  13. E

    JamiiForums Tanzania MAONI: Shule za kata zifikiriwe upya

    Du! wache nishangae. Sio mbay ni vijana wa chama hao. Ukiwaendeleza kielimu wakikata chama twala. bora wawe hivyo. Mzee wa vijisent yupo?
  14. E

    JamiiForums Tanzania Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Hiyo kali Mkuu, tutafute mkalimani. Usijekuwa umetutsi!
  15. E

    JamiiForums Tanzania Hakika ni dr slaa wa watanzania......

    Najiuliza Kikwete hana uwezo hata wa kuomba aandikiwe miradi wa kuboresha nyumba za mbavu za Mbwa katika kijiji chake ? Siku za msiba uingia ndani kwa majirina kavaa buti za mvua. Kha! Amuige Dr. Slaa (Rais wetu wa MOYONI) kwenye jimbo la Karatu au Mbunge na Waziri Nyarambo wa Singida ambaye...
Back
Top Bottom