Kauli ya Rais Kikwete juu ya milipuko ya Mabomu Gongo la Mboto

Rekebisha Heading Mkuu. Mbagala au Gongo la Mboto! Endelea Kutuhabarisha sie tupo ofisini . Generator inakula wese tukisuburi mitambo mipya ya dharura.
 
Lingemlipukia baki wakati huu mimi ningeshangilia kweli! Hana msaada kwani angemwajibisha mwishi wakati ule maafa haya yasingetokea, ukimya wake ni kifo kwetu.
 
mi nadhani bomu moja lijitolee kumuonyesha mfano ilivyokuwa akiwa hapo.....hivi hivi kwa kutembelea hataelewa
 
Unachoshangaa ni nini mkwere kwenda gomes?
Huyo ni mtu wa kushuhudia madudu ya watendaji wake na wala si mtu wa kuwachukulia hatua..ataenda kuchekacheka tu ,kuuza sura kwenye runinga ,na mwishowe atampa pole waziri wa ulinzi kwa kazi ngumu ya kuzuia milipuko zaidi............watanzania jamani tuamke.
 
same old story hata mbagala alienda mbona...? wanaohusika wawajibishwe kwanza

wananchi wa gongo la mboto muulizeni kafata nini hapo wakati wazembe bado wanatumia V8 za umma? usikute waziri mwenye dhamana nae yupi kwenye msafara
 
Wizi mtupu!!!Yani natamani yamkute yaliyowakuta watu wa huko jana....sioni kwenda kwake kutembelea eneo la tukio kunawasaidia vipi waliopatwa na maafa!!!
 
Sanifu at maximum...
Atadanganywa just like Pinda alivyodanganywa.
Kila mtu anajua kuwa wakubwa hawasoMI habari, wanangoja kuambiwa na surbodinates wao.
 
Rekebisha Heading Mkuu. Mbagala au Gongo la Mboto! Endelea Kutuhabarisha sie tupo ofisini . Generator inakula wese tukisuburi mitambo mipya ya dharura.

Jamani mabomu yalilipuka kwenye kambi ya jeshi Gongo la mboto na siyo Mbagala kwa hiyo aliyeanzisha thread hii yupo sahihi. Mabomu ya mbagala yalitokea mwaka 2009.
 
Wizi mtupu!!!Yani natamani yamkute yaliyowakuta watu wa huko jana....sioni kwenda kwake kutembelea eneo la tukio kunawasaidia vipi waliopatwa na maafa!!!

media window dressing, as usual
 
same old story hata mbagala alienda mbona...? wanaohusika wawajibishwe kwanza

wananchi wa gongo la mboto muulizeni kafata nini hapo wakati wazembe bado wanatumia V8 za umma? usikute waziri mwenye dhamana nae yupi kwenye msafara

Mwinyi hawezi kwenda hapo,binadamu tumeumbwa na aibu,nahisi atakula kona!!
 
Hivi kwa nini makampuni ya dawa za meno hawamtumii JK kutangaza bidhaa zao? No cavity!!!!!
 
NATAMANI MABOMU MENGINE YALIPUKE AKIWA HUKO NA YAMLIPUKIE NA YEYE AONE RAHA YAKE,EEEH NDIO

SI AMELEA WATENDAJI WABOVU SASA NA YEYE APATE raha ya BOMU hiloooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
He's so curative than preventive, very reactive than proactive..... That disqualifies JK from being a leader of this epoch....
 
Anachotakiwa ni kuwawajibisha wote ambao wamefanya uzembe hadi kusababisha maafa haya na hofu kwa raia wema. Waziri wa Ulinzi na Mkuu wa majeshi lazima wajiuzulu. wakishindwa basi inabidi yeye awawajibishe kwa manufaa ya umma. Vinginevyo ajiondoe yeye, kwani yeye ni mtuhumiwa namba moja katika hili.
 
mi nadhani bomu moja lijitolee kumuonyesha mfano ilivyokuwa akiwa hapo.....hivi hivi kwa kutembelea hataelewa

yaani hayo ya saanane jamani si yalipuke akifika .mmh sijui maana jamaa anajikoki kila baada ya miezi mitatu bagamoyo
 
Back
Top Bottom