Kanuni mpya ya PAYE

Kanuni mpya ya PAYE

Vivian kabla sijaanza mahesabu naomba nikopeshe japo 50k.

Here we go:

Step 1: 120,000 + 1,916,666 = 2,036,666
Step 2: 2,036,666 - 720,000 = 1,316,666
Step 3: 1,316,666 x 30% = 394,999.80
Step 4: 394,999.8 + 112,500 = 507,499.80 (PAYE)
Step 5: 2,036,666 x 10% = 203,666.60 (NSSF)

Unayompelekea Mr. nyumbani itakuwa 1,325,488.60 (i.e 2,036,666 - 507,499.80 - 203,666.60)

Wahasibu watasaidia kama nimekosea

Kwenye mkwanja wa viviani, fungu la kumi kanisani unalikokotoa vipi, ama nyie hamtoi tithe ( Tithe: a. money some Christians give to church. a particular amount of money that members of some Christian churches give to the church)
 
ni kweli mkuu umekosea,nssf ni tax exempted inabidi gross salary utoe nssf kwanza then balance ndio u calculate paye! Kama wafanyakazi wako unawakata paye kabla hujatoa nssf pole zao! Lakini hii ndo jf mahali pa kujifunza maarifa mengi.wote twajifunza.

sure,......
 
Nitafanya kwa kifupi kuokoa muda procedure ni kama nilivyofanya kwa mentor hapo juu.

1. Chukua jumla ya mapato yako then calculate 10% NSSF assuming kuwa upo kwenye private sector. Kama serekalini PPF or PSPF ni 5%.
Kwahiyo 2036,666 * 10% = 183,2994
2. Kodi (paye) itakuwa ni TZS446,398, then jumlisha NSSF inakuwa 650,064 ukiminus kwenye total earnings unabakiwa na 1,386,602. dah kamshiko kazuri vivy. Outing bac tutashare cost!

Tukubali tusikubali kodi ya mshahara ni kubwa sana jamani. suppose mtu kila mwezi unakatwa laki 5 kama kodi ya mshahara. hii ni nyingi sana kwani kwa 10yrs ni milion 60.000,000. Kodi hii ni wafanya biashara wachache sana wanalipa. wengi wa wafanyabiashara hulipa hiyo laki 5 kwa mwaka na siyo kwa kila mwezi.
 
Nitafanya kwa kifupi kuokoa muda procedure ni kama nilivyofanya kwa mentor hapo juu.

1. Chukua jumla ya mapato yako then calculate 10% NSSF assuming kuwa upo kwenye private sector. Kama serekalini PPF or PSPF ni 5%.
Kwahiyo 2036,666 * 10% = 183,2994
2. Kodi (paye) itakuwa ni TZS446,398, then jumlisha NSSF inakuwa 650,064 ukiminus kwenye total earnings unabakiwa na 1,386,602. dah kamshiko kazuri vivy. Outing bac tutashare cost!

Mkirua,

Namba moja naomba ufafanuzi! 2036,666*10% = 183,2994 kivipi? Kihesabu 2,036,666 *10% ni 203,666/=

Pili, Umezingatia hili kuwa maximum Tax deductible NSSF ni 200,000?=

Hivyo Taxable amount ni 2,036,666 - 200,000 = 1,836,666/= sasa endelea na uhasibu wako. Naomba kusahihishwa!
 
Poa mkuu mambo inakwenda hivii
1. 800,000 - 10% ya NSSF = 720,000 (kama upo kwenye private sector) Kama Govt PPF ni 5%
2. 720,000 - 520,000 = 180,000 (hiki ni kiasi cha kutozwa 25%)
3. 180,000 - 25% = 135,000
4. 45,000 +67,500 + 80,000 = 192,500 (jumla ya kodi & NSSF unayotakiwa kulipa)
5. Pesa utakayompelekea mamsapu ni 607,500/=
5. Kama ni mfanyakazi wa serekali wekamakato mengine kama Bima ya Afya 3% nk.

Huezi amini sijuagi net yangu..inaingiaga tu kwenye account! well nimeshukuru kufahamu.
Then..hapo bold..sijakupata vyema!!! 25% ya nini?
 
Kwenye mkwanja wa viviani, fungu la kumi kanisani unalikokotoa vipi, ama nyie hamtoi tithe ( Tithe: a. money some Christians give to church. a particular amount of money that members of some Christian churches give to the church)

Hilo nalo neno...personally, natoa 10% ya ile pesa niliyosaini kwenye mkataba...before makato yoyote!
Sijui ni sahihi...
 
Mkuu,

Namba moja naomba ufafanuzi! 2036,666*10% = 183,2994 kivipi? Kihesabu ni 2,036,666 *10% ni 203,666/=
Pili, Umezingatia hili kuwa maximum Tax deductible NSSF ni 200,000?=

Hivyo Taxable amount ni 2,036,666 - 200,000 = 1,836,666/= sasa endelea na uhasibu wako. Naomba kusahihishwa!

Aksante mkuu kwa masahihisho. Nikiri kuwa mimi sio mhasibu bali ni maswala ya interest tu!!
Pili ndio nasikia kuwa kuna limit kwenye calculation za NSSF kwamba haizidi laki 2. Hili ni jipya na nitalifanyia kazi ila mwenye taarifa tuendelee kushea!

Tatu kimahesabu hapo juu hakukna shida kubwa ila nilitangulia kumwambia nina tatizo la muda so nimekwenda direct na hilo lilipaswa kuwa jibu la 2,036,666 ukitoa *10%
ambayo inakuwa 1,832,994.4 Kwahiyo naomba isomeke hivyo!

I stand to be criticized!
 
Huezi amini sijuagi net yangu..inaingiaga tu kwenye account! well nimeshukuru kufahamu.
Then..hapo bold..sijakupata vyema!!! 25% ya nini?[/QUOTE]

Kwa mapato yasiyozidi 720,000 fomula ni kama ifuatavyo:

1. Kati ya 135,000 na 360,000 kodi ni 14%,
2. Kati ya 360 hadi 540 ni 31,500 ongeza 20% ya kiasi kinachozidi sh 360,000
3. Kati ya 540,000 hadi 720,000 ni 67,500 ongeza 25% ya kiasi kinachozidi 540,000.
Wewe unaangukia Namba 3 kwani 800,000 ukitoa NSSF 10% Inabaki 720,000.

Kwamba fungu la kumi ulitoe kwenye gross au net pengine mapastor watusaidie maana ukitoa kwenye gross sasa si itakuwa double taxation? Na je ukijalipwa Pensheni hutatoa tena fungu la 10??

Noeleo baana!!
 
Ni kweli mkuu UMEKOSEA,NSSF ni tax exempted inabidi gross salary utoe NSSF kwanza then balance ndio u calculate PAYE! Kama wafanyakazi wako unawakata Paye kabla hujatoa NSSF pole zao! Lakini hii ndo JF mahali pa kujifunza maarifa mengi.wote twajifunza.

Kiongozi mimi ni mlipaji kodi mzuri sana, nitafuatilia hiyo formula imekaaje.

Vinginevyo nashukuru kwa kunipa maarifa zaidi.
 
Hilo nalo neno...personally, natoa 10% ya ile pesa niliyosaini kwenye mkataba...before makato yoyote!
Sijui ni sahihi...
...................................................................
Ki ukweli uko sahihi hata mimi huwa ni hivyo hivyo, kumbuka utakapokuja kuivuta NSSF nusu yake utakuwa hujaitolea tithe, hivyo itolee 10%. Yaani hapo ni full ulinzi in every angle mpaka ushangae.
 
Employee anabamizwa double taxes.
Mara ya mwisho P.A.Y.E adjustments zilifanyika mwaka gani?

Hizi tax brackets zinatakiwa kurekebishwa kila mwaka. Inflation ilivyo juu (almost 20% now), mwakani Tanzania inaweza isitawalike.
 
Back
Top Bottom