Hivi unawezaje kunywa mvinyo na mkeo familia ikiwa imezunguka dining room ikiwa unaua roho za binadamu wenzio?, unalalaje usingizi, unaabudu vipi? .. unafikia vipi kishindo na raha zote ikiwa umeshiriki kumnyima mwenzio haki hiyo milele.
Kuna watu wana mioyo ya ajabu aisee.
Sent using Jamii...
Nachoweza kusema hii ilikua coincidence tu, Kama CCM ingekua na majasusi nguli wanaokipenda chama wasingeweza kukubali kumkabidhi madaraka mtu ambaye anawagawa watanzania kivyama na kikabila na tena ashinde awamu ya pili mwaka huu 2020.
Narudia hii ishu ni mambo ambayo hayakukusudiwa.
Asante...
Mwenyekiti wenu, !au unadhani mpaka kwenye mchakato wa uchaguzi atakuwa na nguvu ya urais.??
Ni huruma tu ya wazee wa jikoni ila CCM ikipania inamtoa itashinikiza wakuu walio ndani ya system kuondoa hili tatizo kwa maslai ya amani iliyoasisiwa na JK Nyerere.
Kwahiyo huyo atakayepambana na...
Wakubwa mnajazana huku kusema pumzika kwa amani wakati akiwa mzima mliupita uzi , acheni unafki sasa unareply pumzika kwa amani anaona hiyo text?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhamaji mwenyewe anatumia 'X' badala ya 'S' huyo sio shabiki bali ni mshangiliaji.., mimi hata iwe vipi sitohama united abadani sababu ndo timu yangu kufa na kuzikana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.