Msaada: Nataka kusitisha dawa za TB baada ya wiki

 
Unaweza ukawa na shida ya ugonjwa lakini shida ya upweke ikawa kubwa zaidi kuliko ugonjwa.
Huyu kijana ni kama faraja yake alikua anaitafuta jamiiforum, huko alipokua alikosa watu wa karibu wa kushare nao anayopitia, wangekuepo wangempa faraja, wangemshauri na wangemwonyesha upendo

Pumzika kwa amani
Kweli kabisa. Hadi huruma.. very sad.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikitika sana @ mwamba aliwai nifata PM kuomba msaada wa dawa nlizo tumia kwa tatizo langu but nilimtajia majina na msg ya mwisho skumjibu najihisi kilifanya kitu kibaya japo skupenda maana Pm uwa zisifatilii kabisa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu bora umekiri kwa kinywa chako mwenyewe. Maana ungenyamaza hata tusingejua kuwa jamaa aliwahi kukufuata PM. Kwa imani yangu naamini umesamehewa.
Marehemu apumzike kwa amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom