Huu utaratibu wa kupata leseni ya biashara kupitia online application

Masokwe

Senior Member
Joined
Mar 30, 2019
Messages
170
Points
250

Masokwe

Senior Member
Joined Mar 30, 2019
170 250
Husika na heading hapo juu, kuna huu utaratibu mpya ukishapata tax clearance toka tra, inatakiwa ufanye application online ili kupata leseni. Je kuna mtu kafanikiwa katika hili, maana nipo mbali na offisi zao na simu hawapokei, sijui ndio wapo likizo.

Msaada tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MANI

Platinum Member
Joined
Feb 22, 2010
Messages
7,240
Points
2,000

MANI

Platinum Member
Joined Feb 22, 2010
7,240 2,000
Zinatoka online kaka na hizi mpya hata rangi Ni tofauti ni kijani na wameandika kabisa kwa kuwa ziko issued on line hazihitaji sahihi wala mhuri
Tafadhali usiwe muongo, hilo jambo halipo, leseni haipatikani online, lazima uende ukasujudu kwa maofisa biashara katika halmashauri husika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumbalao

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Messages
432
Points
500

Nyumbalao

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2014
432 500
Leseni zote za Class A zinatoka online na Class B kwa wilaya ya ILALA nazo zinatoka online unaenda kwenye website Home - TNBP unajisajili unapata username na hiyo password ambayoo email uliyoiweka ndio inakuwa username. Click kwenye tab ya service then Business license. Baada ya hapo kuna mambo ya kujibu na kuload vitu muhimu kama ni mpya Mkataba wa Pango, Kitambulisho , kwa Kampuni memarts na hiyo tax clearance. Unajibiwa haraka na baada ya siku moja au mbili unaletewa control number ukilipa baada ya dakika 15 mpaka nusu saa leseni inakuwa tayari unaprint unaweka kwenye biashara yako. Unachangamoto yoyote kwenye hili leta issue tusaidiane.
 
Mfia nchi

Member
Joined
Jul 18, 2019
Messages
59
Points
150

Mfia nchi

Member
Joined Jul 18, 2019
59 150
Leseni zote za Class A zinatoka online na Class B kwa wilaya ya ILALA nazo zinatoka online unaenda kwenye website Home - TNBP unajisajili unapata username na hiyo password ambayoo email uliyoiweka ndio inakuwa username. Click kwenye tab ya service then Business license. Baada ya hapo kuna mambo ya kujibu na kuload vitu muhimu kama ni mpya Mkataba wa Pango, Kitambulisho , kwa Kampuni memarts na hiyo tax clearance. Unajibiwa haraka na baada ya siku moja au mbili unaletewa control number ukilipa baada ya dakika 15 mpaka nusu saa leseni inakuwa tayari unaprint unaweka kwenye biashara yako. Unachangamoto yoyote kwenye hili leta issue tusaidiane.
Mkuu mie kila nikiapload documents zinagoma. Yaani zinakubali mbili za upande wa kushoto, mbili zinakataa. Tatizo ni nini?
 
Nyumbalao

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Messages
432
Points
500

Nyumbalao

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2014
432 500
Wanapendelea zaidi pdf na image sasa wewe weka kwenye hizo format halafu load angalia na size kama sikosei hazitakiwi kuzidi 5MB. Na kitu kimoja ukiload documents ukiclose lazima uload again hii nafikiri hakuwa very friend design ila hivyo ndivyo ilivyo.

Mkuu mie kila nikiapload documents zinagoma. Yaani zinakubali mbili za upande wa kushoto, mbili zinakataa. Tatizo ni nini?
 
Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Messages
12,051
Points
2,000

Red Giant

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2012
12,051 2,000
Leseni zote za Class A zinatoka online na Class B kwa wilaya ya ILALA nazo zinatoka online unaenda kwenye website Home - TNBP unajisajili unapata username na hiyo password ambayoo email uliyoiweka ndio inakuwa username. Click kwenye tab ya service then Business license. Baada ya hapo kuna mambo ya kujibu na kuload vitu muhimu kama ni mpya Mkataba wa Pango, Kitambulisho , kwa Kampuni memarts na hiyo tax clearance. Unajibiwa haraka na baada ya siku moja au mbili unaletewa control number ukilipa baada ya dakika 15 mpaka nusu saa leseni inakuwa tayari unaprint unaweka kwenye biashara yako. Unachangamoto yoyote kwenye hili leta issue tusaidiane.
mkuu hii system naona inagoma kwenye kuchagua district, ward na village. Iko hivyo au ni tatizo la muda tu? pia ni mpaka nipate tax clearnce ndiyo nijaze? maana nimeona wametaka tu TIN, kodi ya robo nimeshalipia lakini. Wamefanya vyema kurahisisha huu mchakato.
 
MAFILILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Messages
2,304
Points
2,000

MAFILILI

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2011
2,304 2,000

Hii kitu ni Tanzania yote ama ni wilaya ya Ilala tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyaka-One

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Messages
3,140
Points
2,000

Nyaka-One

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2013
3,140 2,000
mkuu hii system naona inagoma kwenye kuchagua district, ward na village. Iko hivyo au ni tatizo la muda tu? pia ni mpaka nipate tax clearnce ndiyo nijaze? maana nimeona wametaka tu TIN, kodi ya robo nimeshalipia lakini. Wamefanya vyema kurahisisha huu mchakato.
Tax clearance kwa anaeanza biashara hawezi kuipata online?
 
Forum statistics

Threads 1,391,149
Members 528,375
Posts 34,074,820
Top