Zantel c dhan kama wanaijua biashara vizuri ? Mm mwenyewe mhanga ktk hilo. Mteja yuko willing kutoa tsh 1500 kwa dakika 160 na Gb 1.5 kwa wiki leo unamuona ana maana. Uku ni kuwapoteza wateja wenu.
Wale waliounga mkono Juhudi si ndio watakuwa wagombea wa CCM? au Mm naona Mollel bado ana Nafasi ya Kuwa Mgombea wa CCM kuliko Mzee wa Toronto kwa hilo Jimbo la Siha.
Je, watakao kuwa wabunge wapya wa NCCR Mageuzi Octoba 2020 wameshapewa maelekezo na Mwenye Kiti Mbatia kuhusu namna ya ruzuku Itakavyotumika? Isije tena baadae ikawa hivi au vile kuhusu ruzuku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal mpaka anachukua Ubingwa wa Epl alikua hajafungwa. Lkn ktk msimu wake huo huo 2003/2004 Alifungwa na Utd na si kwamba Alimaliza ligi pasina kufungwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.