Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,940
- 7,226
Mindset...Naelewa ni matumizi tu tofauti ya maneno au lugha ya biashara kwenye makaratasi ya mikataba.N
Nakununulia IST kwa milioni 10 nakuuzia kwa milioni 14 hiyo wenyewe wanaita faida ila ni riba kwa namna nyingine.
Ndio wanachokifanya
Everyday is Saturday................................😎