Recent content by Epk

  1. E

    UN statement concerning Tanzania general election

    The United Nations is following very closely the Tanzanian general elections of 25 October and congratulates the president elect. We congratulate Tanzanians for exercising their democratic rights in a peaceful manner. We take note of the international observers statement (Commonwealth, AU, SADC...
  2. E

    Atakayeisoma namba ni yule mwenye kipato cha chini

    Mbowe hawezi kuisoma namba. Ana biashara zake plus mshahara wa ubunge. Lowassa pia ana hela zake. Mbatia mhandisi pia mbunge. Tundu Lissu advocate. Ana hela zake. Kushangilia eti UKAWA watakoma ni ujinga. Atakayeisoma namba ni yule ambaye akija hospitali ukamwambia hela ya kumuona daktari ni...
  3. E

    Amebarikiwa yule aliye na mwanaume wa aina hii kwenye mahusiano

    Kwa comments zao hapa tu inaonesha walivyo wagumu..sijui mtu anaanzia wapi kukufuta machozi na shati lake. Itategemea shati kanunua wapi
  4. E

    Wanafunzi Sekondari ya Kibamba wafukuzwa kwa kukosa ada

    Kuna watu wanachangia mada ka wao wamesoma nje ya nchi, et kurudishwa mwanafunzi nyumbani kwa kukosa ada leo imekua kitu cha ajabu.... Ebu jiulize wewe hujawahi rudishwa home kwa kukosa ada. Ni kisi kwa walimu kuwaadhibu wanafunzi kwa kukosa ada, labda kuna makubaliano kati ya wazazi na...
  5. E

    Hii siyo Siasa ni Kazi kwa ambao wataipenda!

    Hiyo biashara inafanyikaje
  6. E

    Mwanafunzi wa Masters UDOM achomwa kisu

    Kila sehemu tunatia siasa, mbona itakua hatari
  7. E

    Buhohela analipwa na ITV, Magufuli au CCM?

    Leo clouds fm walikua live wanarusha mkutano wa cdm ila bdo kuna watu wana mind et clouds wamenunuliwa, tuache lawama wakuu vinginevyo
  8. E

    Uzinduzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi(BRT) Dar - Agosti 17, 2015

    Kwani mradi ndo unaanza kufanya kazi au wamesema wanataka fanya majaribio,,,,,,, mana tusianze tuu na lawama na mineno mizitoooo
  9. E

    Nashindwa kumsamehe mke wangu, ametembea na Mkurugenzi wa Ofisini kwake...

    Kaka maisha ni majaribuu jitahidi kusamehe bdo utasahau
  10. E

    Amebadilika sana, nikimuuliza anasema yupo bize

    Loveeeeeeeeeee, stupid mind game...... Umuwazae anawaza mwingine... Yani kama duara tuu unampenda huyu, nae anampenda yule yule nae anampenda mwingine........ Hiyo distance love ni maumivuuu tuuu..... Ni
  11. E

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Jana aliitwa jembe leo Dr mnamwitaa mnafiki, Prof Lipumba mhasisi na mwanzilishi na mtunzi wa jina UKAWA anaonekana mpumbavuu et kisa kaachia ngazi... Ivi sisi ni mashabiki tuuu au ni watu tunao hitaji maendeleo?????????
  12. E

    Nimeamua kuisaidia CHADEMA, Dr. Slaa sio mtu wa kuaminika

    Sisi wana cdm bwanaaa saiz ata dr slaa eti ni fungu la kukosaaaa
  13. E

    Mwanaume kuvaa shanga/cheni kiunoni ina maana gani?

    Mmoja alienda kwa mganga na kusema kila akimtokea dem anampiga chini so mganga akampa sharti la kuvaa shanga na ahakikishe kila anapo mtokea ajue kua ana shanga, so bdae jamaa akafanikiwa so may be ndo style
Back
Top Bottom