Amebadilika sana, nikimuuliza anasema yupo bize

Amebadilika sana, nikimuuliza anasema yupo bize

Mh! Huu ndo ulimwengu na nikitoka sizani kama ntapenda tena maana mapigo matatu huku nikunifundisha kulipa kisasi kwa wengine MUNGU aniepushie roho ya ivo kwakweli
Subiri mpaka akutafute yeye. Kumbuka nyie ni wapenzi tu.mwenzio tayari ana wake wa maisha.
Halo kimbia kabla hujatamkiwa kuachwa utaumia zaidi.
 
Mh nachanganyikiwa jamani! Ila nashukuru kwa uwaz wako.
Pole, kwa kweli mapenzi/mahusiano ya mbali ni mtihani sana.

Lakini huenda wewe unawaza kujenga familia mwenzio yeye kakuweka kwenye just a friend zone....
 
Hivo vyote navielewa na ndio maana yakujiachia nhpate ushauri maana nimekaa nalo moyon mpaka face imezeeka kwa kutafakari mara mbili tatu pasipo kupata jbu.
kamata mwizi wwe.........kusoma hujui hata picha tu???
 
Loveeeeeeeeeee, stupid mind game...... Umuwazae anawaza mwingine... Yani kama duara tuu unampenda huyu, nae anampenda yule yule nae anampenda mwingine........ Hiyo distance love ni maumivuuu tuuu..... Ni
 
Fanya na wewe party ya kimyakimya...huku ukijisemea moyoni mwanaume cyo mama yangu....kutwa Mara 3,ndani ya mwezi tatizo kwisha
 
Umejaribu kuongea nae, sio kudraw conclusion. Second kwa mahusiano ambayo hata 6 months hayajafika alafu tena ni long distance ni kazi sana kustawi. Unaweza jilaumu labda hauko lucky with rlships but kumbe ni mazingira. U need to know one another very well, spend time pamoja. Kama ni watu wa movie atleast mnaenda once per month au disco etc. Ukiona mwanaume anakupeleka movies, au weekends anakutoa out beach au anygood place without f@*cking you, he is into you. Kama ni yule mkitoka tu lazima hilo liwepo everytime, jua huyo si wa serious rlship
 
Mapenzi ni 2 ways traffic , sasa kama anaringa huyo mwanaume hapo hapafai.
Huyo mwanaume kweli wakutaka kubembelezwa?
Mwanaume anabembeleza na si kubembelezwa.
 
achia ngazi mchuma unaondoka huo. kama yupo busy nawe kuwa busy na mambo yako
 
Napita tuu 🚶🚶🚶🚶🚶
 
Loveeeeeeeeeee, stupid mind game...... Umuwazae anawaza mwingine... Yani kama duara tuu unampenda huyu, nae anampenda yule yule nae anampenda mwingine........ Hiyo distance love ni maumivuuu tuuu..... Ni

sawa nayaacha hayo malove kwakweli
 
Back
Top Bottom