Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,041
- 13,473
Sasa nyie TBC mmegombana nao
Startv pia. Mnataka Na ITV pia?
Susieni tu
Startv pia. Mnataka Na ITV pia?
Susieni tu
Ni vizuri ukitupa mifano sio hisia ili tusaidiane kurekebisha hili ili kupata habari za ukweli.Wote wanafanya higyo. Hata Asraj (anayeripoti kampeni za CHADEMA) naye anafanya yaleyale ya Buhohela. Ndivyo waandishi wetu walivyo na yote hii ninhayo malipo ya pembeni wanayopewa na vyama!
Ndio huyu hapa...
Nyie nani? Acha ushabiki wa kijinga wewe! Hapa lengo ni kurekebisha tabia zisizo fuata maadili ya kazi ili tuwe tunapata habari za ukweli.Sasa nyie TBC mmegombana nao
Startv pia. Mnataka Na ITV pia?
Susieni tu
Nyie nani? Acha ushabiki wa kijinga wewe! Hapa lengo ni kurekebisha tabia zisizo fuata maadili ya kazi ili tuwe tunapata habari za ukweli.
Yani bora kubeba mzigo wa zege kuliko hawa Bavicha yani kila kituo wanaona hakitendi haki:Sasa nyie TBC mmegombana nao
Startv pia. Mnataka Na ITV pia?
Susieni tu
Halafu anaonesha watu wachache mbele kuonesha kuna umati . Itv chukueni hatua
Je akiripoti mzee wa daladala hakufikisha nusu saa ktk hotuba yake c mtamtoa roho waacheni wafanye kazi yao
Ndio huyu hapa...
Huyu jamaa mchumia tumbo kinoma. Hata mi nimeshangaa
HahahahaLeo mmedata, yaani lowasa hatabiriki kwenye kampeni, anafanya vitu kimkakati...mlijua atazidisha mda kama magufuli....mwenzenu mjanja hotuba kaitoa live ITV....
Acha unafiki wewe mtoa hoja