Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

Ina maana siku Salum Mwalimu antuambia yupo kwenye majukumu mengine ya kichama alikuwa anatudanganya?
 
Akizungumza na redio one mda huu saa 4, mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema Freeman Mbowe, amesema Dr Slaa hawezi kuhama chama hicho na hafikirii kamwe.kwa sasa anapumzika kwa likizo ya wiki moja .

Alipo ulizwa kuhusu Slaa kutokubaliana na ujio Wa Lowassa amejibu kila kitu tulikubaliana na Slaa mwenyewe aliunga mkono suala hilo.

Mbowe amesema wananchi na wanachadema kwa ujumla wasiwe na wasiwasi kwani hiki chama ni makini na hakiwezi fanya maamuzi bila maridhiano na akasisitiza kuwapuuza wanaoeneza habari kuwa Slaa amejiuzulu siasa.

Alipo ulizwa mara ya mwisho kuwasiliana na Dr Slaa ni lini akajibu jana saa kumi na mbili jioni.
alipoulizwa walizungumza nini akajibu anajua yeye na Slaa.

walipo muuliza hasa mbona sisi tukimpigia hapatikani akajibu sijui lakini mimi nimewasiliana nae jana.

sourse.
Radio one,

Shost

Kwa sasa Mbowe haaminiki, tunataka kumsikia dr slaa mwenyewe
 
Ndani ya siku 10 CHADEMA wameshatoa kauli zaidi ya tatu tofauti kuhusu Dr. Slaa. Mwanzo walisema wamegawana majukumu hivyo Dr Slaa yuko ofisini anaendelea na kazi. Baadaye ikaja kauli kwa mtindo wa tuhuma dhidi ya Mke wa Dr Slaa, Josephine kuwa ameshikilia mateka mumewe. Wakati huo huo 'wakereketwa' sana wa CHADEMA 'mpya' wamekuwa wanasisitiza kuwa Dr Slaa anaanda mkutano wa CC. Sasa inakuja kauli kwamba Dr Slaa anapumzika!

Watanzania walalahoi wamepotea maisha, na wengine wamepata vilema vya maisha wakitetea CHADEMA na misingi yake ya kukataa ufisadi. Leo hii vipande thelathini vimewafanya Mbowe na wakubwa wenziwe waamini kuwa wanaweza kuwageuza-geuza Watanzania wote kama chapati! Haiwezekani.
 
Ili usichanganyikiwe ndio maana mnashauriwa kufata na kusikiliza yale matamko rasmi ukihangaika na kila post humu utajichanganya kila mtu anatunga yake
 
Dr Slaa siumewapiga marufuku wanachadema kukusemea na kuwataka wanyamaze kimya naomba ujitokeze tena angalau kidogo umuonyo Bwa Mbowe kwa kutumia jina lako vibaya
Akizungumza na redio one mda huu saa 4, mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema Freeman Mbowe, amesema Dr Slaa hawezi kuhama chama hicho na hafikirii kamwe.kwa sasa anapumzika kwa likizo ya wiki moja .

Alipo ulizwa kuhusu Slaa kutokubaliana na ujio Wa Lowassa amejibu kila kitu tulikubaliana na Slaa mwenyewe aliunga mkono suala hilo.

Mbowe amesema wananchi na wanachadema kwa ujumla wasiwe na wasiwasi kwani hiki chama ni makini na hakiwezi fanya maamuzi bila maridhiano na akasisitiza kuwapuuza wanaoeneza habari kuwa Slaa amejiuzulu siasa.

Alipo ulizwa mara ya mwisho kuwasiliana na Dr Slaa ni lini akajibu jana saa kumi na mbili jioni.
alipoulizwa walizungumza nini akajibu anajua yeye na Slaa.

walipo muuliza hasa mbona sisi tukimpigia hapatikani akajibu sijui lakini mimi nimewasiliana nae jana.

sourse.
Radio one,

Shost
 
LIKIZO NJEMA, Mnyika nae aseme lolote jamani, mbona Lisu katoboaaa1
 
Ndani ya siku 10 CHADEMA wameshatoa kauli zaidi ya tatu tofauti kuhusu Dr. Slaa. Mwanzo walisema wamegawana majukumu hivyo Dr Slaa yuko ofisini anaendelea na kazi. Baadaye ikaja kauli kwa mtindo wa tuhuma dhidi ya Mke wa Dr Slaa, Josephine kuwa ameshikilia mateka mumewe. Wakati huo huo 'wakereketwa' sana wa CHADEMA 'mpya' wamekuwa wanasisitiza kuwa Dr Slaa anaanda mkutano wa CC. Sasa inakuja kauli kwamba Dr Slaa anapumzika!

Watanzania walalahoi wamepotea maisha, na wengine wamepata vilema vya maisha wakitetea CHADEMA na misingi yake ya kukataa ufisadi. Leo hii vipande thelathini vimewafanya Mbowe na wakubwa wenziwe waamini kuwa wanaweza kuwageuza-geuza Watanzania wote kama chapati! Haiwezekani.
Hahahahha kamanda nimecheka karibu nipasuke. Kiukweli mimi kama member wa ukawa nimeshakubali matokeo zamaniii. Nimeshaona tumepigwa changa la macho na wajinga ndio tunaoliwa, hakuna jinsi. Tartiibu natafuta uelekeo. Nilikuwa napiga kelele za ufisadi mtaani mpaka natoa povu. Sasa hivi sina agenda, tukiongolea ufisadi natabasamu nakusema Tanzania nani kasema kuna ufisadi, una ushahidi kama huna Shut up!
Nazungumzia tu kuutoa mfumo lakini sina hoja mfumo gani sasa na nani mhusika. More often i have been keeping my mouth shut since the defect of Lowasa to ukawa. Its been like a nightmare! Nimetukana matusi yote duniani lakini kimoyomoyo sina wa kumtwisha nayo.
 
Ndani ya siku 10 CHADEMA wameshatoa kauli zaidi ya tatu tofauti kuhusu Dr. Slaa. Mwanzo walisema wamegawana majukumu hivyo Dr Slaa yuko ofisini anaendelea na kazi. Baadaye ikaja kauli kwa mtindo wa tuhuma dhidi ya Mke wa Dr Slaa, Josephine kuwa ameshikilia mateka mumewe. Wakati huo huo 'wakereketwa' sana wa CHADEMA 'mpya' wamekuwa wanasisitiza kuwa Dr Slaa anaanda mkutano wa CC. Sasa inakuja kauli kwamba Dr Slaa anapumzika!

Watanzania walalahoi wamepotea maisha, na wengine wamepata vilema vya maisha wakitetea CHADEMA na misingi yake ya kukataa ufisadi. Leo hii vipande thelathini vimewafanya Mbowe na wakubwa wenziwe waamini kuwa wanaweza kuwageuza-geuza Watanzania wote kama chapati! Haiwezekani.

Kweli kazi ipooooo hapooooo
 
haya mambo ni kawaida ktk siasa kwahyo mm kama sjaridhishwa na ukimya wa dr silaa na siridhishwi na kauli tofaut tofaut juu ya dr silaa but whatever happens cwez kurud ccm hata kidogo kwakuwa niliwaamin xana kwa miaka ming na wameshindwa kuwathamin watanzania ,,,,,am proud of being CHADEMA whatever challenges we experience
 
Kamanda mboye na yeye amekosea.

Yani mtu ameharibu chama cha watu kwa kuwachukulia mtu wao. Waliochukuliwa mtu wakaona wasitake shari na wamwachie Mboe aondoke na jembe lao na wao kuamua kujifariji na propaganda kuwa Dr. Slaa anahama Chadema.

Tumaini hili pekee la ccm kujifariji kuwa Dr. Slaa anahama chadema, Mboe kaja tena na kuliondoa na kuusema ukweli.

Mimi binafsi huu uonevu unaofanywa na Kamanda Mbowe siukubali na naupinga kabisa. Maana nimeshagundua nia ya Kamanda Mbowe ni kutaka kukiuwa kabisa Chama Cha Mapinduzi. Na kwakuwa mm ni Mkristo safi na ninaamiani kuwa kuuwa ni Dhambi, basi sina Budi kumpinga kamanda Mbowe.
 
Mbowe ni muongo tu na hilo kishajidhihirisha siku nyingi.

Ngoja daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa amshukie kama alivyomshukia anaejiita Yericko Nyerere kwa uongo.
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti amekata midomo! Mjadala kuhusu Dk Slaa ufungwe sasa!
 
Dr Slaa tuko nyuma yako mzee wetu tunafahamu ni upepo tu huu
 
What we need ni CHANGES asiyekubaliana na sisi ahame tu, namkumbuka Fid Q "Mmoja anaingia mmoja anatoka"
 
Back
Top Bottom