Mwanaume kuvaa shanga/cheni kiunoni ina maana gani?

Na mpaka ukaona shanga na ukaweza kuzihesabu zote? na weye nakushangaa pia.
 
Habari zenu,

Leo nikiwa kwenye foleni ya kwenda kujiandikisha ili kupata kitambulisho kitakachoniwezesha kupiga kura, nyuma ya foleni kulikua na wadada watatu wakipiga story za mapenzi. Mmojawapo akafunguka kuwa kuna mkaka alikutana nae, amefungasha Shanga za kutosha kiunoni, hii hatareeee.

Tena katika maelezo yake akasema hajawi kukutana na mtoto wa kiume alievaa shanga na kumpagawisha, akasema ni wazi shanga akivaa mwanaume/ mtoto wa kike, lazima uchanganyikiwe, uchanganyikiwe na nini jiongeze mwenyewe.

Haya, nyie wadada hebu mtuambie, sasa ndo mambo ya kitehama hayo?
 
Hahahaa hapana kwakweli sioni kabisa ni nini kitanipagawisha mwanaume akivaa shanga zaidi ni kunifanya nikimbie tu
 
Mie nilimsikia Aunty yangu akiongea na shogake alikua na bwana wa Kimasai,yani tangu sikuiyo nikimuona yule Baba nacheka
manake najaribu kumuangalia alivyo polish huwezi kujua kama ni mmasai,sasa niki fikiria hizi shanga duu naishia kucheka,yani bora hata yule Aunty asingesema,ningekua mie Wallah sisemi kwa watu Aibu............
 
Mmoja alienda kwa mganga na kusema kila akimtokea dem anampiga chini so mganga akampa sharti la kuvaa shanga na ahakikishe kila anapo mtokea ajue kua ana shanga, so bdae jamaa akafanikiwa so may be ndo style
 
mambo ya santa lusia hayooo

nikimkuta nitahisi tu mganga maana so far sijampata mwenye nazo teh teh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom