Mwanafunzi wa Masters UDOM achomwa kisu

Mwanafunzi wa Masters UDOM achomwa kisu

Inna lillahi wa inna ilaihi raji'un.Ila itakuwa ilikuwa struggle ya aina gani kulikuwa hamna watu wa kutuliza jamani da!na hiyo stabbing ni kwenye moyo aaagh!Poleni sana wafiwa.Hayo ni majanga dabari dabari mi mwenyewe ni mtata sana kuanzia sasa nitaepuka confrotations.

Alimchoma kwa nyuma wakati akiondoka sehemu inaitwa wings pub Dodoma
 
Kwa vile jina lake ni Mbise na hivyo anatoka Kaskazini therefore ni UKAWA? Umefikiaje conclusion kuwa marehemu alikuwa UKAWA?

Rip Mr. Mbise.

Hakuwa Ukawa alikuwa mpenda mabadiliko mwanaharakati... Nilikuwa nashare status zake fb coz zilikuwa za kiharakati ya mwisho niliishare tar 6/9 ilikuwa
Hii hapa
 
Attachments

  • 1441967230293.jpg
    1441967230293.jpg
    24.8 KB · Views: 1,393
Hakuwa Ukawa alikuwa mpenda mabadiliko mwanaharakati... Nilikuwa nashare status zake fb coz zilikuwa za kiharakati ya mwisho niliishare tar 6/9 ilikuwa
Hii hapa
Ni wazi kuwa wewe Unamfahamu lakini nilikuwa sikuulizi wewe. Nilikuwa namuuliza Mamndenyi ambaye alisema kuwa UKAWA tumepoteza kura moja tayari. Au Mamndenyi pia ni id yako nyingine?
 
Ni wazi kuwa wewe Unamfahamu lakini nilikuwa sikuulizi wewe. Nilikuwa namuuliza Mamndenyi ambaye alisema kuwa UKAWA tumepoteza kura moja tayari. Au Mamndenyi pia ni id yako nyingine?

Nope nmeamua kuweka mambo Sawa muelewe alikuwa mtu wa aina gani! maana with no time mtachafua hali ya hewa na siasa zenu humu. Wakati he lives and stands for truth kitu ambacho wanasiasa hawana!! Tuyaache haya tuenzi maisha ya ambitious young man yalikatizwa na ukatili wa binadamu!!
 
Inahuzunisha sana ni homeboy wangu ka hustle sana na Elimu ili Ije implipe since Akeri, Ihungo, UoA na Udom
RIP Baba Steve!! Mungu ampe pumziko LA milele
machafuzi unit watakukumbuka

Amen. Polen machafuzi unit.
 
inasikitisha sana. huyo muuza chipsi kama akili imemrudi sijui atakuwa anajisikiaje sasa
 
Mbayaaa, Apumzike salama.
Poleni wafiwa wote,
Poleni wote mlioguswa na msiba huo

..........Ukawa tumeshapoteza kura moja masikini.

Mamdenyi nawe ukawa kumbe!!!habari ya cku nyingi shangazi!!
 
poleni wafiwa pia poleni watz wenzangu maana tumepoteza mtaalamu haijalishi ana msimamo gani kisiasa lakini taaluma yake ingekuwa msaada kwa taifa letu.apumzike kwa amani
 
Nope nmeamua kuweka mambo Sawa muelewe alikuwa mtu wa aina gani! maana with no time mtachafua hali ya hewa na siasa zenu humu. Wakati he lives and stands for truth kitu ambacho wanasiasa hawana!! Tuyaache haya tuenzi maisha ya ambitious young man yalikatizwa na ukatili wa binadamu!!
Mkuu mchonganishi
Mbise amezikwa wapi sanawari au?
Ulikuwepo kwenye mazishi? Wape pole sana hellen na ndugu yake.
Gone too soon. RIP Shanty.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom