hakuna kujiuzulu, mzee Butiku apambane hadi mwisho kitapoeleweka, ndio ayavue manyanga. Akiondoka kwasasa sisi hao, tutasema ameshindwa kupambana na changamoto.
Ukweli humuweka mtu HURU.
Udini umehamia mashuleni, Hadi za msingi, siku ya kipindi cha dini, mtu mzima anaeitwa Mwl WA dini, anawafundisha watoto namna dini nyingine walivo makafiri, waalimu wengine huzunguka nje ya darasa kulindi asisogee Mwl WA dini nyingine, akisogea tuu! Mzozo na kumfukuza, watoto wanaanza hivi...
Maadili ni kama kingo za mto na binadamu
ni kama mto, unaweza kufikiri madhara ya
mto unapofurika na kingo zake
kuharibika, au uhai wa mto pasipo kingo,
nidhahiri kabisa hautokuwa na mwelekeo
maalum, kwahiyo maadili yanatuelekeza
sehemu tunapotaka kwenda na
yanatukinga dhidi ya uharibifu...
Kwanza wanapenda kuitunza familia kwa chakula
.
Pili hawako wazi kumshirikisha mke mipango ya maendeleo
Tatu wanaalika bila aibu ndugu zao kwa wingi bila aibu hata kama ndoa imefungwa Jana tu,
Nne wanapenda kuzaa mpaka yai la mwisho liishe.
Tano, wanapenda kuvaa nguo mpya wakati WA sikukuu...
Bado halijapatikana kibu sahihi! Mtu aheshimiwe kwa swali lake, asitolewe upepo kiasi hicho. Hata mie ningependa kufahamu zaidi, najua wapo na wengine wengi. Pamoja na hayo! Kuna bendera za mataifa mbalimbali maeneo tofauti Tofauti yakiwemo ya ibada. Ufafanuzi p/s!?
Sent from my BlackBerry 8520...
Edward L. Ngoyayi ni chaguo sahihi kwa ccm kama hakuna mizengwe,
1. Ni jasiri
2. Anathubutu kuamua jambo kwa manufaa ya wengi.
3. Aliwakoromea waarabu kuhusu Maji ya mto Nile
4. Aliuvunja mkataba hovyo WA kampuni ya Maji Dar ( nimesahau jina la kampuni)
5. Utajiri alionao jumlisha umri wake...
Ungeweka kiuwazi zaidi, ili tuweze kutoa mawazo yetu, pamoja hilo, hicho kituo cha radio hakiwezi kuonywa au kufungiwa ila mwanahalisi ni rahisi. Uchochezi huo ni HATARI sana.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Napenda kuitumia huduma hii, lakini nimeshindwa maranyingi namna ya kuipata, pamoja na juhudi zangu za kila Mara, bila mafanikio. Kwa unaye fahamu Nisaidie tafadhari.
Asante.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Nashukuru kwa ushauri, nilishauriwa kutumia UNUsual, pakapoa kidogho, lakini sasa naona hali imeanza tena! Mie Niko mbali na hospital ya Taifa Muhimbili, Niko mikoani, kuhusu dawa za minyoo nimetumia sana, sa sijui shida ni ipi mpaka sasa!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Acha kupiga mayowe, mkuu tupo kupanga safu Ya ushindi, Dr Slaa ongeza vikosi na tupige mbizi zaidi kuibukia 2015.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.