Redio imani: Tcu imewekwa kudhoofisha uislamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Redio imani: Tcu imewekwa kudhoofisha uislamu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by A VILLAGER, Oct 14, 2012.

 1. A

  A VILLAGER Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kipindi kinachoendelea asubuhi hii. sijui kama hawa wachambuzi ni timamu kweli!
   
 2. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hakuna sehemu kuna harusi,hitma,arobaini ili hawa jamaa waende kupata msosi??
   
 3. N

  Nyakipambo JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 435
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nadhani wakati umefika Waislam wapewe nchi yao. Waishi wenyewe kabisa kama Somalia au Afghanista au hata Yemen. Hili linawezekana kwama Wakristu na Waislam wakiwa na nia ya dhati ya kufanya hilo. Hata kule India mwaka 1947 Waislam walitaka nchi yao na Wakapewa nchi ya Pakistan na Bangladesh na Wanaishi kwa amani tele huko peke yao bila bughudha.

  Nashauri kama inawezekana Waislam na Wakristu wagawane hii nchi ili uepusha Nigeria nyingine. Iliwezekana Pakistan na India, iliwezekana Cyprus, iliwezekana Turkey na Greece walipobadilishana raia kwa kufuta dini zao(Wakristu wakaenda Greece na Waislam Wakaenda Turkey) na naimani itawezekana Kupata nchi ya Waislam na Wakristu hapa Tanzania.
   
 4. E

  EPHRASEkE Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ungeweka kiuwazi zaidi, ili tuweze kutoa mawazo yetu, pamoja hilo, hicho kituo cha radio hakiwezi kuonywa au kufungiwa ila mwanahalisi ni rahisi. Uchochezi huo ni HATARI sana.

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 5. G

  GENERARY Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Si hayo tu ila wanasema leo wanaomboleza kwa yale mabaya aliyo wafanyia Nyerere, wala hawaoni haja ya kuadhimisha. na mwislamu yeyote atakaye mkumbuka Nyerere kwa lolote atakuwa anafanya kufuru kwa Allah!
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  Hao jamaa naona hapa JF mnawapa airtime sana...tumechoka jamani kujadili akili ndogo
   
 7. K

  Kifungo New Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha2jafikia huko ila inaonyesha hao wanaofanya fujo wame2mwa serikali iwatafute hao viongozi wao iwachukulie ha2a
   
 8. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hao masheikh wana elimu gani? Nadhani watakuwa std 4,7 plus Elimu Ahera.

  TCU iko pale kisheria,wenye sifa ndio wanapata nafasi kujiunga na elimu ya juu,imagine toto lako unalipeleka madrasa unategemea nini??
   
 9. S

  Suleiman Kinunda Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi na ww unaweza kujiita msomi kwa kuridhika na heading tu? Ama kweli nyani haoni kundule unajua kilichozungumzwa ndani yake? Siyo nyie wenyewe mlioanza kuiponda tcu kuwapeleka watu course wasiochagua na maovu yao kibao au kunya anye kuku akinya bata.......!!! Kisa aliyewaponda ni muislamu ndiyo iwe tabu
   
 10. S

  Suleiman Kinunda Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kusoma hadi ku-comment inaonyesha na wewe humo ninavyojua mimi anayemjadili mwenye akili ndogo yeye anakuwa na akili ndogo zaid
   
 11. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Huyo Allah sasa,,! sijui
   
 12. Meljons

  Meljons JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 25, 2012
  Messages: 2,591
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 160
  Wana inferiority complex. Tuwabebe tu maana tukishindana nao TZ hapatatosha. Nawasikitia sana kwa uwezo mdogo wa kupambanua mambo.
   
 13. g

  godfrey_p New Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hao jamaa hawan elimu kam m2 hat chekechea hajapitia unategemea nin?kusoma hujui hata kuona huon?
   
 14. T

  TEGETA KIBAONI JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
   
 15. M

  MICHO THOMAS BK Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Exellent mkuu hawa jamaa cjui wanataka nini.
   
 16. SENGANITU

  SENGANITU Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli sasa ni hatari tupu hapa Tanzania. Dini inahusishwa na mambo ya kitaalam. Kwa hiyo siku hizi serikari ya Tanzania, kuanzia rais na watendaji wote wa serikali wanatumia misuli yao yote kuukandamiza uislamu? Kama hujaridhika na huduma yoyote inayotolewa lazima usingizie kuwa lengo ni kudhoofisha uislamu? Dini ni nyingi na madhehebu ni mengi hapa Tanzania, na kwamba kila mtu angekuwa ana amua tu kutumia chombo cha habari kusema mabaya ya taasisi zetu akihusisha na dini yake pasingetosha. Nchi hii ni ya watanzania wote bila kujali dini zao, makabila yao na jinsi zao. Hivi matatizo na machungu ya maisha wanayopata watu wenye ulemavu nayo yangesemwa kwa style ya udini ingekuwaje? kwa kuwa kila taasisi(zikiwemo na hizo za dini) zinavyowatenga watu wenye ulemavu mashitaka yao wangepeleka wapi? Tuchambue mada kwa ustaarabu. Issues za dini huwa hazina muafaka.
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mapadre wenye degree ndo wameelimika kubaka na kubeba wake za watu????
   
 18. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mapadre wenye madegree ndo wameelimika kwa kubaka,kulawiti na kuwalala wake za watu
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  me nibebe mgongoni
   
 20. Fabian the Jr

  Fabian the Jr JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 686
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 80
  Jaman ndugu zangu, heb wote tutafakar kwa umakini jinsi ambavyo tumekua tukiishi vizuri na kwa amani na upendo siku zote bila kujali wewe ni Juma au wewe ni Joseph, nini furaha ya kutaka kuingia huku tnapotaka kwenda, ck zote najiuliza, KWANINI WANAOLALAMIKA KUONEWA SIKU ZOTE NI WAISLAM? wakristu wenye madheheb yaliyo mengi mbona hawalalamiki kuonewa? hebu tufikirie vyema ndugu zangu ndipo tuamue.
   
Loading...