CHADEMA wahurumieni watanzania

CHADEMA wahurumieni watanzania

Ata huongee fitna gani hauniharibii weekend yanguu.... Baki na ujinga wako
 
Masalia at Work.......... Huyo anaandmwa na Uchizi.
 
Wewe kweli ni mbumbumbu wa masuala ya Wanamtwara. Watu wa Mtwara wanamadai mengi sana ambayo ni ya kumwinywa haki zao na kutelekezwa na serikali ya CCM kwa miaka mingi. Hili suala la gesi ni immediate cause na wala si underlying cause. Nenda kasome tamko wa watu wa Mtwara ili uone na kuelewa masuala mengi yanayowasumbua watu wa Mtwara na nadhani ukisoma tamko hilo akili yako itafunguka na kuacha kudandia hoja. Kwa akili yako unadhani watu Mtwara wanachochewa na CDM la hasha ni civic aware ya Watanzania wa wakati huu. Mlizoea kuwanyanyasa Watz wakati wenu umefikia ukingoni. CCM mwisho wake umefika na cjui mtaficha wapi sura zenu.
Naipongeza serikali na hususani jitihada kubwa zilizofanywa na waziri mkuu Mhe. Pinda kuzima uasi mkoani Mtwara. Kilichotokea Mtwara ni matokeo ya kampeni kubwa ya uchochezi inayoendeshwa nchi nzima na CHADEMA kwa jina la M4C. CHADEMA kama walivyo wataalamu wa hali ya juu katika masuala ya uzushi, kwa makusudi kabisa waliamua kumgombanisha mheshimiwa Rais na wanamtwara.

Walichofanya CHADEMA ni kuamsha hasira za wanamtwara kwa kuwajaza porojo kuwa mhe. Rais kaamua kuihamisha gesi kutoka Mtwara na kuipeleka kwa bomba kwao Bagamoyo ambako pia kunajengwa bandari mpya kwa kutumia pesa ambayo awali "ilitengwa" kwaajili ya ukarabati na upanuzi wa bandari ya Mtwara. Hali ni maneno ambayo yalichochea hasira za wanamtwara na kuamua kufanya fujo hadi kusababisha maafa na uharibifu mkubwa wa mali.

Baada ya waziri mkuu kufanikiwa kuzima uasi huo ulioandaliwa kiufundi, CHADEMA wameazimia kuhakikisha hali ya usalama hairejei Mtwara kwa kuhamasisha tena vurugu kupitia kampeni yao ya M4C na safari hii itaongozwa mkoani humo na Mhe Godbless Lema. CHADEMA wahurumieni watanzania ambao siku zote mmekuwa mkijipambanua kuwa mnawapenda sana iweje mnawaingiza kwenye chokochoko ambazo zinasababisha maafa yao?
 
hii inabidi wananchi waamke nchi nzima maana kila m2 akijua haki zake ccm muanze kuhama tu.
 
moyo ungekuwa na kioo na kuyaona anayowaza mwenzako cicim(matapeli) usinge hata post ujinga huu. Watu wengne bana p****vu angalia sana sio kupost kitu usichokijua.
 
always i ask my self why many poor people and drunker give much sapport to chadema is that real chadema under leader like GODBLESS LEMA can bring hope to them??

Andika kiswahili basi ueleweke, Kiingereza mlichofundishwa kwenye shule za kata za ccm kinatuchefua sisi wengine...!!!
 
always i ask my self why many poor people and drunker give much sapport to chadema is that real chadema under leader like GODBLESS LEMA can bring hope to them??
Rudi kwenye darasa là English course, kiiengereza gani umeandika humu jamvini? si bora tu ungepost kwa kiswahili? Hivi ina maana kuishabikia CCM kunafanya n'a akili kichwani zipungue kidogo??!!
 
Mkuu mwakidondo, unfikiri wana JF wote ni hamnazo kama nyie masalia na hao waliokutuma? Hayo ndo matatizo ya kufikiria kwa kutumia makalio. Kwa taarifa yako maCCM hamna jipya subiri majibu 2015.
 
Mi nawashangaa sana hawa CDM, ck zote walikuwa wanawdharau sana watu wa Kusini kwa kuwasemanga hawajaenda shule, wapenda CCM na mambo kadha wa kadha.

Leo hii wanasema ukombozi wa kweli unatoka mtwara hawana lolote hawa wanatubeza na kutughiribi. Hizi zote ni ghiriba tu. Ndugu zangu wa mtwara hawa hawatupendi na mwisho wa ck utasikia matusi na kashfa kadha wa kadha tukae chonjo. These people dont have parmanent friendship, have parmanent interest.........

Chonde vanung'uvangu anevo vanituheka na nelo vatupanyi makofi patuwalalana nundu vanatutukuta. Waziri nkuu anituhaulila tumpilikanile oti tuvang'e na serikali muda wakuyatenda, lilombe lideda lilinowela liyonjo, wetu tulinowee ntwara yetu.
 
Wanamtwara wametukanwa wote leo kuwa hawana akili na wao hawatambuhi kilicho chema na kibaya.

Inatakiwa sasa watu waanze tumia majina halisi humu ndani ili angalau waweze tambulika hata na baadhi ya watu. Unaweza kuta huyu ni mweshimiwa kabisa mtunga sera za nchi ila anaandika matapishi kama haya na anaacha watu wasome.

Tatizo kubwa ni mazoe
 
Naipongeza serikali na hususani jitihada kubwa zilizofanywa na waziri mkuu Mhe. Pinda kuzima uasi mkoani Mtwara. Kilichotokea Mtwara ni matokeo ya kampeni kubwa ya uchochezi inayoendeshwa nchi nzima na CHADEMA kwa jina la M4C. CHADEMA kama walivyo wataalamu wa hali ya juu katika masuala ya uzushi, kwa makusudi kabisa waliamua kumgombanisha mheshimiwa Rais na wanamtwara.

Walichofanya CHADEMA ni kuamsha hasira za wanamtwara kwa kuwajaza porojo kuwa mhe. Rais kaamua kuihamisha gesi kutoka Mtwara na kuipeleka kwa bomba kwao Bagamoyo ambako pia kunajengwa bandari mpya kwa kutumia pesa ambayo awali "ilitengwa" kwaajili ya ukarabati na upanuzi wa bandari ya Mtwara. Hali ni maneno ambayo yalichochea hasira za wanamtwara na kuamua kufanya fujo hadi kusababisha maafa na uharibifu mkubwa wa mali.

Baada ya waziri mkuu kufanikiwa kuzima uasi huo ulioandaliwa kiufundi, CHADEMA wameazimia kuhakikisha hali ya usalama hairejei Mtwara kwa kuhamasisha tena vurugu kupitia kampeni yao ya M4C na safari hii itaongozwa mkoani humo na Mhe Godbless Lema. CHADEMA wahurumieni watanzania ambao siku zote mmekuwa mkijipambanua kuwa mnawapenda sana iweje mnawaingiza kwenye chokochoko ambazo zinasababisha maafa yao?

KISIMA said:
well said

mmmmh!
 
wengi wanaosema wanamtwara waandamane hawaishi mtwara wanataka pachafuke huko mtwara
 
Mkuu Shelui, post yako inadhihirisha pasipo shaka elimu yenu wananchi wa kusini ni ya mashaka na mnahitaji ukombozi wa kifikira , nahisi ndo unaendeleza ule utamaduni wa kujipendekeza ili upate nafasi za uteuzi kama vile u-kuu wa wilaya, u-kuu wa mkoa au u-kurugenzi. Kitendo cha kutumia lugha yako ya asili kuwasilisha ujumbe wako ni ufinyu wa mawazo na ukame wa maono. Je kila mtu akitumia lugha yake ya asili tutaelewana hapa JF? au ndo' unakurupuka mkuu kutoka usingizini? Tafakari !!! Chukua hatua !!!!!!!!!!!!!
 
well said mkuu! Hawa jamaa sijui vipi!
wanaendeleza mkakati wao wakuifanya nchi isitawalike ambapo kimsingi huu ni mkakati wa kizandiki unaotawaliwa na ufedhuli na hila nzito.haiwezekani wadanganye wana mtwara kwamba eti gesi inaenda bagamoyo ili wananchi wajue rais anapeleka kwake.huu ni uungwana kweli? Halafu wanachochea wananchi kupambana na polisi ni akili hiyo kweli? Eti wanawaambia hawa polisi ninyi wananchi ndo mmewaajiri wasiwaambieni kitu hawa! Hawa jamaa wanasahau kwamba hiki wanachokifanya watapandikiza chuki ambayo hata wao itawatafuna vibaya.
 
Unajua kama huna la kusema kwa heshma yako, hata kama majina yetu mengi si halisi, tafadhari acha kupost na kuchangia hoja usizo na uhakika nazo.
 
Naipongeza serikali na hususani jitihada kubwa zilizofanywa na waziri mkuu Mhe. Pinda kuzima uasi mkoani Mtwara. Kilichotokea Mtwara ni matokeo ya kampeni kubwa ya uchochezi inayoendeshwa nchi nzima na CHADEMA kwa jina la M4C. CHADEMA kama walivyo wataalamu wa hali ya juu katika masuala ya uzushi, kwa makusudi kabisa waliamua kumgombanisha mheshimiwa Rais na wanamtwara.

Walichofanya CHADEMA ni kuamsha hasira za wanamtwara kwa kuwajaza porojo kuwa mhe. Rais kaamua kuihamisha gesi kutoka Mtwara na kuipeleka kwa bomba kwao Bagamoyo ambako pia kunajengwa bandari mpya kwa kutumia pesa ambayo awali "ilitengwa" kwaajili ya ukarabati na upanuzi wa bandari ya Mtwara. Hali ni maneno ambayo yalichochea hasira za wanamtwara na kuamua kufanya fujo hadi kusababisha maafa na uharibifu mkubwa wa mali.

Baada ya waziri mkuu kufanikiwa kuzima uasi huo ulioandaliwa kiufundi, CHADEMA wameazimia kuhakikisha hali ya usalama hairejei Mtwara kwa kuhamasisha tena vurugu kupitia kampeni yao ya M4C na safari hii itaongozwa mkoani humo na Mhe Godbless Lema. CHADEMA wahurumieni watanzania ambao siku zote mmekuwa mkijipambanua kuwa mnawapenda sana iweje mnawaingiza kwenye chokochoko ambazo zinasababisha maafa yao?

chama cha mapinduzi hakijasema popote kuwa chadema ilipandikiza chuki kwa wanamtwara hadi wakafikia hatua unayoita 'uasi'. Si uasi ni kujitambua tu. Na huo muafaka unaouzungumzia nadhani bado kwa mujibu wa kauli ya maimamu. Serikali ya chama chako ifikie hatua ya kuweza kutambua matakwa ya wananchi na kuyafanyia kazi.
 
Naipongeza serikali na hususani jitihada kubwa zilizofanywa na waziri mkuu Mhe. Pinda kuzima uasi mkoani Mtwara. Kilichotokea Mtwara ni matokeo ya kampeni kubwa ya uchochezi inayoendeshwa nchi nzima na CHADEMA kwa jina la M4C. CHADEMA kama walivyo wataalamu wa hali ya juu katika masuala ya uzushi, kwa makusudi kabisa waliamua kumgombanisha mheshimiwa Rais na wanamtwara.

Walichofanya CHADEMA ni kuamsha hasira za wanamtwara kwa kuwajaza porojo kuwa mhe. Rais kaamua kuihamisha gesi kutoka Mtwara na kuipeleka kwa bomba kwao Bagamoyo ambako pia kunajengwa bandari mpya kwa kutumia pesa ambayo awali "ilitengwa" kwaajili ya ukarabati na upanuzi wa bandari ya Mtwara. Hali ni maneno ambayo yalichochea hasira za wanamtwara na kuamua kufanya fujo hadi kusababisha maafa na uharibifu mkubwa wa mali.

Baada ya waziri mkuu kufanikiwa kuzima uasi huo ulioandaliwa kiufundi, CHADEMA wameazimia kuhakikisha hali ya usalama hairejei Mtwara kwa kuhamasisha tena vurugu kupitia kampeni yao ya M4C na safari hii itaongozwa mkoani humo na Mhe Godbless Lema. CHADEMA wahurumieni watanzania ambao siku zote mmekuwa mkijipambanua kuwa mnawapenda sana iweje mnawaingiza kwenye chokochoko ambazo zinasababisha maafa yao?
Mwakidondo, ebu soma taarifa hii iliyoletwa na mkuu THE BIG SHOW ili uone swala la gesi limekaaje huko Mtwara. Acha ulimbukeni, uongo wa Pinda utadhihiri muda si mrefu.
Habari za leo wana ukumbi huu,,

Awali ya yote Mtwara na Kusini yote kwa ujumla ina wasalimu sana.

Leo,baada ya swala ya ijumaa kama vile ilivokawa inatarajiwa na wengi mjini hapa,shura ya maimam kama wadau ambao walihusika kuwawakilisha wananchi katika kufikisha duku duku zao kwa mh. waziri mkuu ndugu Mizengo Pinda pale alipokafanya ziara ya kuzuru Mtwara,wametoa tamko lao fupi la mrejesho kwa wananchi kama ifuatavyo;

ndugu wanananchi,waislam na wasio waisalm,amani ya mwenyezi mungu iwe juu yenu..

Kama mlivyo tutuma kwenda kuwawakilisha kuongea na mh. waziri mkuu leo tumekuja kwenu kuleta mrejesho mfupi wa yale tuliyozungumza na mh wazir mkuu,,

Kwanza kabisa,msimamo wetu upo vile vile kama awali,suala la gesi liangaliwe kwa umakini wa hali ya juu na utekelezaji wake sharti uzingatie malalamiko ya wananchi,tamko letu sisi liko vile vile.

Kwa kuwa katika vile vipengele vyote tulivyoongea na mh. waziri mkuu ni kipengele kimoja tuu katika yale madai yetu kilichofanyiwa kazi,nacho ni kile cha mkuu wa mkoa kuomba radhi kwa wananchi,kwani mkuu wa mkoa kafanya hivyo.

Lakini katika vipengele vyote vilivyobakia serikali haijafanya chochote cha kuturidhisha,kwa hiyo sasa,tunatamka rasmi hatukufikia mwafaka na wazir mkuu..

Kwa mantiki hiyo sasa shura ya maimam inatoa angalizo kwenu wananchi waislam na wasio kua waislam kwa wakati huu tuwe watulivu,tusifanye fujo wakati shura ya maimam inaendelea na vikao na kutoa utaratibu wa kipi kitachofuata,vikao vinaendelea,,juma pili pia kutakuwa na kikao cha mwisho,na kikao cha juma pili kitatoa tamko la jumla ya nini kifanyike na kuangalia mwelekeko upi tuufate.

Tunawaomba sana wananchi tuwe watulivu,tusifanye fuzo za aina yoyote kwa mtu yeyote,tusiharibu mali ya mtu yeyote,tusiharibu mali za serikali na mtu yeyote,tuwe watulivu na tunawaomba tusirudi kule kwenye matukio ya wiki zile zilizopita.

Tungependa kupinga suala hili la gesi bila kufanya fujo na vurugu,,

"To protest without violence",,wasije wakapata sababu ya kusema ya kwamba tunachochea machafuko na uvunjifu wa amani,,

Tunawatakia ijumaa njema..,mwisho wa taarifa,.

PINDA TULISHAKUONYA KUHUSU HAYA ILA HUKUTAKA KUSKIA,BADALA YA KUSUBIRI MREJESHO UFIKISHWE KWA WAHUSIKA WEWE UMEKIMBILIA BUNGENI NA KWENYE VYOMBO VYA HABARI KUSEMA MGOGORO UMEKWISHA,,

PINDA NI MGOGORO GANI ULIOUMALIZA??

MAPAMBANO YANAENDELEAA.
 
Bila shaka unaongea usichokijua. Siku ukikua utaelewa! Maana mtoto akiambiwa 'hiki ni kiti' wakati ni meza ataendelea kuamini hivyo na kuita hivyo. Ila siku akikua atajua kumbe sio kiti ni meza! Mwakidondo kalishwa propaganda za ccm kuwa Chadema kutoa elimu ya uraia inawapotosha watanzania!

Hii CDM inapaswa kuwa na msemaji otherwise wengi tutakuwa disappointed na movements zake. Kama ni kweli waliofanya hivi ni CDM basi moyo wangu unakuwa mdogo.

Sioni unachokataa kuwa hawa watu hawajachochewa wakati hata hapa jamvini maneno yao unayasikia. Kuna mmoja kaniambia (ktk moja ya mada za GESI) kuwa CCM inawadhulumu nafasi yao ya kuiendeleza Mtwara iwe na MAENDELEO kama ilivyo Bagamoyo, Kigamboni na Katavi.

Raeding btn the lines, huyu ni mbumbumbu na mlevi wa uvumi. Kwa tunaoijua Katavi, hivi unaweza kusema imeendelea zaidi ya Mtwara? Jibu ni kwamba imetajwa kwa kuwa PM anatoka kipande hiyo.

Bagamoyo na Mikindani zina tofauti gani? Jibu ni kwamba imetajwa kisiasa kwa kuwa FastJet anatoka huko. Sasa ukitazama ni kwamba, huyo aliyewaambia hayo anatumia kukosa kwao ufahamu kuwatrigger kwa manufaa yake.

Nyie endeleeni kubisha kwa nguvu zenu zooote lkn taratibu mtaanza kuona ubaya wa kubase Morals kwenye Myth.
 
Mtoa mada siajabu wenzie masisiem wakamuluka kuwa si wakwao baada ya tangazo la wakuu wa dini ya kiislamu Mtwala. Lakini uzi huu unatufundisha jinsi propaganda za kisiasa zilivyoliangamiza taifa kwa muda mlefu. Uongo every where. Tanzania na waTanzania ni wakuhurumia.
 
Back
Top Bottom