Recent content by endagulda

  1. endagulda

    Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

    Nimeuliza kwa ustaarabu tu, mbona unajibu kwa hasira na matusi ya nini sasa
  2. endagulda

    Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

  3. endagulda

    Bia za kununuliwa kuagiza Savanna, Desperados na Redbull huo ni ushamba

    Tafuta hela, unawanywesha vipi wadada vitu vichungu???.
  4. endagulda

    HGE asome kozi Gani?

    Akasome Agricultural Economics and Agribusiness- SUA
  5. endagulda

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Habari wakuu Naomba kufahamu chimbo la kupata mabirika yale ya aluminium ya kuchemshia chai au kahawa
  6. endagulda

    Natafuta mabirika ya kuchemshia kahawa

    Natafuta mabirika ya kuchemshia chai au kahawa kuanzia lita 1.5 hadi lita 2
  7. endagulda

    Nina Bsc. Food Science and Technology, natafuta kazi yoyote iliyo halali

    Pole mkuu, unauzoefu kidogo wa kutengeneza bidhaa za Maziwa, kama vile yogurt, butter , cheese etc
  8. endagulda

    Ni chuo gani kizuri kinatoa mafunzo ya UANDISHI NA UTANGAZAJI

    Morogoro school of journalism nafikiri wanatoa jaribu kuwatafuta
  9. endagulda

    Aende chuo kipi kati ya UDSM na SUA

    Nenda SUA kijana, pm nkutumie material yote ila ijipange kwa course sumbufu zofuatazo 1. MTH 102_mathematics 2.AEA-117 principles of agriculture 3.AEA 112 business communication 4. Mathematics for economists 5. Introductory to statistics 6.theory of financial markets and institutions 7...
  10. endagulda

    Msaada wa taarifa kuhusu kilimo cha mpunga - Ifakara, Morogoro

    Kama unaweza kufika CHITA nako kuna mashamba mazuri sana yana milikiwa na JKT huwa wanakodisha, mwaka Jana nilikodi kwa 40,000 per acr
  11. endagulda

    Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    KUNA KILA DALILI YA KUTUMBULIWA MTU KUANZIA KESHO, hii akaunti facebook ni ya nani
  12. endagulda

    Natafuta mtu makini wa kushirikiana na mimi kuwekeza katika kilimo

    mkuu idea nzur mi niko morogoro nilikuwa na idea kama yako tutaftane 0783400286
  13. endagulda

    Updates zoezi la kuzima simu bandia

    yangu haijazimwa mpaka sasa
  14. endagulda

    Ugonjwa wa hatari umeingia (Bell's Palsy)

    Habari zenu wadau, Kuna ugonjwa umeanza kuenea kwa kasi ambapo ukienda hospital madaktari wengi wanadai kutouelewa huu ugonjwa hasa hospitali za mikoani, Dalili zake zinafanya upande mmoja wa uso kupinda au mdomo kwenda upande. Kuna rafiki yangu anaishi Botswana nilimweleza dalili zake...
  15. endagulda

    Vyuo vingine havipo hapa tanzania zaidi ya UDSM

    wengine tumetulia tuliii!!!!!!!!!!!!!!! hatujajaliwa kubishana sana ila tunakuja kiaina
Back
Top Bottom