Binafsi nimepitapita maeneo mbalimbali katika nchi hii nimekuta minara imejengwa katika maeneo ya shule,sasa nauliza shule hizo zinanufaika vipi na kodi hiyo ya minara maana shule ziko choka mbaya no body who care.
Mdau umuhimu wa kuanzia na madiwani ni mkubwa sana kwani katika halmashauri baraza la madiwani ndio wanaoandaa bajeti za halmashauri pia katika ripoti za CAG zimeonesha pesa zinaliwa/ibwa sana katika ngazi za halmashauri kutokana na umbumbumbu wa madiwani waliowengi,binafsi napendekeza madiwani...
Daah! Haya magamba mi yameshanichosha yanapiga pesa za wanainchi bila huruma kila siku skendo,kama wao wako hivyo mi nataka kufahamishwa mali za boss wao.
Watajuta kwanini wamempa rikizo maana kwangu hiyo ni rikizo,kufanya siasg si bungeni tu tena bungeni wanabanwa na kanuni lakin huku kitaa ni ful kujiachia naomba rikizo yake isiishe maana napata somo zaidi ya kuingia lecture.
Huyo jaji atende haki wala asiingiliwe katika maamuzi ili kumfurahisha mkubwa fulani kwani wanaweza kufikiri wanamkomoa kumbe wanamkomaza kisiasa na kumuongezea sifa pasi na sababu yoyote ya msingi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.