CHADEMA yapoteza mvuto majimboni..Tumewachoka

wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

Wewe ni hasara kwa wazazi wako na taifa. CCM inaleta maendeleo gani? au ufisadi ndo maendeleo. CDM ikipata nyenzo maendeleo tutayaona. Hata wewe hayo makamasi yaliyoko kichwani mwako yatakutoka tu.
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

Hata kama unatumia ID ya kupumba na watu hawakujui isiwe sababu ya kujidhalilisha namna hii. Nakufananisha na mtu anayefanya umalaya eti kwa kuwa hakuna anayemjua vizuri kwenye mji huo. Kuna watu humu hatuwajui lakini wamejijengea heshima kubwa tu
 
yaelekea wewe ndio nyumba ndogo yao sasa unaringia maendeleo ya kujenewa kale kajumba kamoja ukaita maendeleo.
 
Umeniudhi sana kuwastua mapema hawa,wenzako hilo tulilijua siku nyingi sana lakini kwa kuwa tunajua kula na vipofu tumekua tukiwachunia tu ili waendelee kupoteza muda kwenye kususa na kuandamana huku wakiendelea kupoteza umaarufu,sasa kwa thread kama hizi wataamka hawa watu,ungewaacha tu.
tatizo ugonjwa ulionao(brain coccusion) hauna tiba subiri tu kufa
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

Towa ujinga wako kampe mtazamohuo mzazi wako umetumwa?! Ushindwe kwa jina la CDM.
 
Maendeleo endelevu ya kiuchumi hayaji bila maendeleo ya kisiasa na uwazi. Haya mawili ni nyuso mbili za sarafu moja. Usipokuwa na muamko wa kisiasa wachache watafuja mali za nchi na kuharibu uwezekano wa maendeleo zaidi.

Ili nchi kuendelea inabidi kila mtu ajue haki yake na kuitumia vilivyo, vile vile atimize wajibu wake.

Waache wahimize watu kudai haki zao za uraia.

Na ili kujuwa haki ni lazima ususe ndio waelewe kuwa upo makini! Na ukisusa unapelekwa kwa baba unapewa juisi unafurahi.
 
Wewe siasa ni ndani na nje ya bunge bila cdm wewe ungejua nini juu ya wizi wa mali za umma unaoendelea?cdm keep it up endeleeni kutujuza.
 
Maendeleo endelevu ya kiuchumi hayaji bila maendeleo ya kisiasa na uwazi. Haya mawili ni nyuso mbili za sarafu moja. Usipokuwa na muamko wa kisiasa wachache watafuja mali za nchi na kuharibu uwezekano wa maendeleo zaidi.

Ili nchi kuendelea inabidi kila mtu ajue haki yake na kuitumia vilivyo, vile vile atimize wajibu wake.

Waache wahimize watu kudai haki zao za uraia.

unamwelimisha nini huyu mjinga?unafikiri haya hayajui? Huyu na wenzake rejao wanalipwa na sio kwamba hawaujui ukweli,achana na wapumbavu kama hawa wanaowazia tumbo.
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

Kwa hiyo ni hilo la kuhamasisha maandamano ndilo linaloweza kuwapotezea mvuto?

Mbona yapo mengi sana yanayofanywa na serikali yako Judi wa Kishua yanayoishusha hadhi serikali na chama kwa ujumla?

Hivi bei ya mafuta kwa ltr unanunua shilingi ngapi? Mchele je?
 
we judi choka mbaya umetumwa na nani? Kweli umechanganyikiwa usiichoke chukua chako mapema unaichoka cdm,yenye mvuto nakubain mambo mengi angalia juzi bungeni uozo mwingi wanaanika cdm. Kweli we hovyoo.
 
Umechoka wewe, jimboni kwako, ambalo liko chumbani kwako! Na umechoshwa wewe tu, muulize mkeo/mumeo na watoto wako watakukatalia kabisa, watakueleza kuwa watz majimboni wanaikubali chadema kwa sana. Peoples power. M4C.
 
wakuu hichi chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kina zidi kupoteza mvuto kwa wananchi majimboni...
Sababu kubwa ya kuchokwa mapema ni Wabunge wake kutumia muda mwingi kuhamasisha maandamano mikoani badala ya kuleta maendeleo.

Nakuona kama vile unatembea usiku wa manane huku umevalishwa miwani ya jua halafu umeme umekatika., sidhani km utafika mji waliokutuma MAGAMBA!!!
Hauna tofauti na malaya anayelazimika kutembea na mwathirika bila condom ili mradi apate pesa!!
Jitume fanya kazi dada usikubali kutumika visivyo! Am out.,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom